Mnyang'anyi
Member
- Jul 10, 2011
- 72
- 51
shule iliyokwenda shule. wapi kijiwe vile, tutembelee...
www.alibaba.comMwenye kufahamu bei ya incubetor za kichina ambazo bei ipo chini atuwekee
Joto 37-38 centigrade
Hewa 4000,000 mililita kwa saa
Unyevu
Mayai 30
Sikia we ulietoa mada mi nakusaidia bure kama utapenda maelekezo zaidi utanitafuta 0767002400/0782183441
Mahitaji
> Joto 37-38 centigrade
> Hewa 4000,000 mililita kwa saa
> Unyevu
> Mayai 30
Mashine rahisi box moja la maji ya kilimanjaro makubwa
Procedure: Toboa tundu la round linalotosha kupitisha sarafu ya tsh 200 pande tatu za nox lako. matundu haya yataweza kuingiza hewa mililita 4000000 kwa saa.
- chukua taa ya chemli na uiwashe na uweke upande mrefu mmoja ulio na tundu
- chukua maji kwenye bakuli dogo lijae robotatu na uliweke karibu kabisa na taa inayowaka maji haya yatasaidia kusambaza unyevu
- nunua thermometer utoboe box lako na uiweke sehemu unayoweza kuiona kisha ziba na karatasi ya nyilon ama chupa ili kuweza kuona ndani
- weka saw dust (maranda) na upange mayai yako kwenye upande wa urefu ambao haukutobolewa yasiwe jirani kabisa na taa kwa maana uweke taa mbali na mayai.
- funika box lako vizuri kisha liweke sehemu ya mwanga wa wastani. mpaka hapo incubator yako ipo tayari kagua incubator yako kila baada ya masaa8, kwa kugeuza mayai, na kuangalia kiwango cha joto lililopo kwenye incubator.
na tumai utakuwa umepata uzoefu bure . mimi nimelipia laki moja hii semina na nitakuelekeza mambo megi tu

Mkuu sijaelewa vizuri, Hayo maranda unayaweka ndani ya box?
2)Hilo box la maji la Kilimanjaro ndani yake hizo chupa unazitoa au unaziacha!
3)Hilo bakuli la maji linakua juu ya box?
4)Napenda kujua zaidi mkuu.
Incubator inatumia siku 21 kama kuku tu. Kuhusu mayai sio kila yai linafaa kuwekwa kwenye incubator, yai linatakiwa liwe limetoka kwa kuku aliyekuwa na jogoo yaani limerutubishwa. Pia inashauriwa yai lisiwe limekaa zaidi ya wiki 2 tangu litagwe. Wataalamu zaidi wataeleza.msaada jamani