Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

:A S thumbs_up: Wanajamvi heshima kwenu wote, Kwa wajasiliamali wafugaji wa kuku na ndege wa aina mbalimbali napenda kuwaletea habari njema na kwamba mashine za kisasa zenye uwezo wakutotoa mayai 96 kwa mkupuo mmoja, ziko automatic zinapatikana kwa bei nzuri na zina guarantee.

Kwa anayetaka kukuza biashara yake hii wawezakuni PM au piga simu 0762354090 kwa taarifa zaidi au tuma email: ndamwe@gmail.com
 
Najaribu kuku pm inashindikana. Lakini ni vema bei ukaweka bayana kwani ukitaja bei PM waweza kukuta unaumiza wengi kwani utataja bei tofautitofauti ili tujipinde. Binafsi nahitaji lakini je ikitokea inaharibika naweza pata mafundi kwa urahisi? Niko Ruvuma.
 
Mkuu nahitaji moja,tupia bei,ila mayai 96 mbona ni machache sana?kama Mtu unataka upige bness?mm nahitaj kubwa ambayo inaweza kutotoa mayai let say tray 20 at a time,au zaidi,mayai 96 mkuu ni tray 3 tuu.kama unapiga bness ni hasara kaka
 
Mkuu Ndamwe weka picha, bei, zinatoka nchi gani, brand gani?
 
Last edited by a moderator:
Inatakiwa iwe mashine ya kubeba mayai 96 na si kutotoa mayai 96, kuyabeba/kuyaatamia na kuyatotoa ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Wapendwa habari zenu,tafadhalini msinishangae wala kunicheka,eti kuna kampuni au mtu binafsi anaejihusisha na uuzaji wa mayai ya kuku wa asili SIO MACHOTARA yaliyokuwa tayari yamerutubishwa kwa ajili ya kutotoleshwa kwenye incubator?
 
and scientifically! huyu jamaa amewahi kusikia kuku wa kienyeji anayetaga bila dume? sidhani kama amewahi kuwafuga kweli!

Nna jumla ya kuku wa kienyeji 77 mpaka kufikia jana out of them mitetea mikubwa ni 22,kati ya hao 22 kwa sasa 9 wameanza kutaga.

Mimi nawafuga just for funny (kujifurahisha tu kutokana na kuwapenda kuku) ila nataka nianze kuwafuga kibiashara zaidi hivyo nikawa najiuliza je hakuna kampuni inayouza mayai ya kuku wa kienyeji ili niwe nayatotolesha mwenyewe kwenye icubator na kupata vifaranga wengi kwa wakati mmoja?
 
Nna jumla ya kuku wa kienyeji 77 mpaka kufikia jana out of them mitetea mikubwa ni 22,kati ya hao 22 kwa sasa 9 wameanza kutaga.Mm nawafuga just for funny (kujifurahisha tu kutokana na kuwapenda kuku) ila nataka nianze kuwafuga kibiashara zaidi hivyo nikawa najiuliza je hakuna kampuni inayouza mayai ya kuku wa kienyeji ili niwe nayatotolesha mwenyewe kwenye icubator na kupata vifaranga wengi kwa wakati mmoja?
binafsi cjawahi kusikia but why kama umefikia kiasi hicho cha kuku unaweza kabisa kua company au mtu binafsi auzie mayai ya kuku wa asili? fanya yafuatayo!

1)Ongeza idadi ya kuku jike

2)Kuku amalizapo kutaga mnyang'anye mayai mweke kwenye banda la majogoo aanze upya kutaga!

3)kama unacho hicho kifaa cha incubetor kitumie kwa hayo mayai utakao wanyang'anya hao kuku kama hauna hakikisha unabakiza kuku wachache kwa ajili ya kulalia wastani wa mayai 11 na kuendelea!
 
binafsi cjawahi kusikia but why kama umefikia kiasi hicho cha kuku unaweza kabisa kua company au mtu binafsi auzie mayai ya kuku wa asili? fanya yafuatayo!
1)Ongeza idadi ya kuku jike
2)Kuku amalizapo kutaga mnyang'anye mayai mweke kwenye banda la majogoo aanze upya kutaga!
3)kama unacho hicho kifaa cha incubetor kitumie kwa hayo mayai utakao wanyang'anya hao kuku kama hauna hakikisha unabakiza kuku wachache kwa ajili ya kulalia wastani wa mayai 11 na kuendelea!

Poa asante kwa ushauri wako
 
Ni kweli kwenye post ya "unataka kuwa tajiri" ilielekeza jinsi ya kuwafanya hao kuku wako wote walalie kwa pamoja na pia Kubota aliijaribu na kuielezea hapa.

Kama utaona ugumu kuwafanya watotoe kwa pamoja chukua mayai yao hao tetea weka kwenye machine ila fuata vigezo yasizidi siku 7, uyakague kama ni fertilized nk. Kwa kuku 22 ukivizia wote wametaga walau kwa siku 7 hutakosa mayai 100 na hiyo ndo batch yako ya kwanza.

Mimi nimeanza na tetea au jike 6 tayari wanataga nawasubiria wawe wengi nitaanza kutotolesah kwa mashine sasaivi kila mmoja namwacha analalia na kutotoa kivyake. Kila la heri
binafsi cjawahi kusikia but why kama umefikia kiasi hicho cha kuku unaweza kabisa kua company au mtu binafsi auzie mayai ya kuku wa asili? fanya yafuatayo!
1)Ongeza idadi ya kuku jike
2)Kuku amalizapo kutaga mnyang'anye mayai mweke kwenye banda la majogoo aanze upya kutaga!
3)kama unacho hicho kifaa cha incubetor kitumie kwa hayo mayai utakao wanyang'anya hao kuku kama hauna hakikisha unabakiza kuku wachache kwa ajili ya kulalia wastani wa mayai 11 na kuendelea!
 
Ni kweli kwenye post ya "unataka kuwa tajiri" ilielekeza jinsi ya kuwafanya hao kuku wako wote walalie kwa pamoja na pia Kubota aliijaribu na kuielezea hapa. Kama utaona ugumu kuwafanya watotoe kwa pamoja chukua mayai yao hao tetea weka kwenye machine ila fuata vigezo yasizidi siku 7, uyakague kama ni fertilized nk. Kwa kuku 22 ukivizia wote wametaga walau kwa siku 7 hutakosa mayai 100 na hiyo ndo batch yako ya kwanza. Mimi nimeanza na tetea au jike 6 tayari wanataga nawasubiria wawe wengi nitaanza kutotolesah kwa mashine sasaivi kila mmoja namwacha analalia na kutotoa kivyake. Kila la heri

Asante mdau,ngoja nisome hiyo unataka kuwa tajiri,hiyo ya kubota nshaisoma yote na naendelea kuisoma..thanx
 
My brother in Fundi na muuzaji pia wa Incubator za Automatic na Manual poa zipo ni PM nikuunganishe nae !! Zinatumia umeme.
 
Wekeni bei na aina hapa.

Mnaenda pm kwani mnauza unga.

Wekeni wazi hapa.

Ndo maana mnatapeliwa huko.
 
:A S thumbs_up: Wanajamvi heshima kwenu wote, Kwa wajasiliamali wafugaji wa kuku na ndege wa aina mbalimbali napenda kuwaletea habari njema na kwamba mashine za kisasa zenye uwezo wakutotoa mayai 96 kwa mkupuo mmoja, ziko automatic zinapatikana kwa bei nzuri na zina guarantee. Kwa anayetaka kukuza biashara yake hii wawezakuni PM au piga simu 0762354090 kwa taarifa zaidi au tuma email: ndamwe@gmail.com


Hizo mashine bado zipo?

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom