Dafo
Member
- Aug 1, 2012
- 75
- 69
Mkuu Incubators ziko kwenye kundi la Msamaha wa kodi na hiyo iko wazi, na inajulikana kazi yake ni Kunagulia mayai, ghalama za bandalini ni kweli ziko juu ila haiziwezi fika Milioni zinaangukia kwenye laki 7 mpaka 6
Shukrani mkuu kwa taarifa.na ili kupata msamaha wa kodi hakuna taratibu za kwenda wizara ya kilimo ili wakuidhinishe?na kama ikiwa hivyo si inabidi uwe umekuwa na registered business?vipi kwa mashine za kusagia chakula cha kuku nazo zipo kwenye msamaha??naomba usichoke mkuu kwa maswali