Mashine ya muwa

Mashine ya muwa

boy 1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2016
Posts
414
Reaction score
395
Msaada mwenye kujua machine ndogo ya kutengeneza juice ya muwa inauzwa bei gani
 
Mini ninayo, nakuuzia kwa 800,000/ badala ya 1.5M

Ilikua inafanya kazi kariakoo, sasahivi Haina kazi baada ya machinga kuondolewa. Kama upo interested Karibu PM kwa mawasiliano zaidi.

Asante
 
Back
Top Bottom