Mkuu kuna jamaa zangu nawafahamu wana hicho kiwanda cha mkaa mbadala, kuhusu soko wanasambaza kwenye baadhi ya cafteria za vyuo, kwenye mabaa, watu binafsi nk. Wako vizuriWana jamvi
Salaaam
Naomba mwenye uelewa au ufahamu wa mashine za kutengeneza mkaa wa kisasa( alternative charcol ) na soko lake anijuze,pia na masoko ya bidhaa yaani mkaa wenyewe kwa hapa Tanzania,pia na ushauri wa hii biashara kwa ujumla
Nawakilisha
Mkuu kuna jamaa zangu nawafahamu wana hicho kiwanda cha mkaa mbadala, kuhusu soko wanasambaza kwenye baadhi ya cafteria za vyuo, kwenye mabaa, watu binafsi nk. Wako vizuri