MASHINE YA KUKAMULIA JUICE YA MUWA YA MOTOR YA UMEME AU YA INGINE YA MAFUTA

Mtimbo

JF-Expert Member
Jan 18, 2012
1,392
796
Habari wadau!?

Kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza hapo juu.

Natafuta Mashine ya kukamulia Juice iwe ya motor ya Umeme au ya ingine ya Mafuta
Iwe mpya au Used ila tu iwe kwenye hali nzuri katika kufanya kazi

Natanguliza shukrani na karibuni tufanye biashara
 
Mkuu ulipata mashine?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom