Mahali pa kuweka mashine ya juisi ya miwa

Mahali pa kuweka mashine ya juisi ya miwa

Abdul Mganyizi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2019
Posts
1,040
Reaction score
2,010
Habari ndugu zangu,

Nilinunua mashine zangu mbili za kukamua juice ili nibangaize miamoja au miambili nione kama nitaongeza kipato. Mashine zipo Dar, niliwakabidhi vijana walikuwa wanaziweka kando kando ya barabara hapo Buguruni.

Sasa kutokana na Mgambo kuwakamata kila mara na mashine moja ilipelekwa manispaa huko ikabidi nitume lakimbili kuikomboa. Mimi nipo mbali nipo mkoa ,sasa natafuta eneo la kuziweka ambako kuna population yaani nje ya fremu ya mtu anayefanya biashara yake kama wengine wanavyofanya.

Anayeweza kunisaidia tafadhali anisaidie make now hazifanyi kazi zipo tu.

Nitashukuru kwa ushauri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom