Yaani vitoto vingine vinapiga pose za nguvu. Mtu unaweza kuwa pedophile hivihivi.
Zakumi tafadhali ndugu. Get your mind out of the gutter, please.
Teli himu teli himu, braza!
Lol...siyo mambo ya kuletea utani hayo. Watoto wetu inabidi tuwalinde.
Zakumi tafadhali ndugu. Get your mind out of the gutter, please.
Yaani komredi nilivyo angalia hivi yaani kangekuwepo kabinti kangu ka Fideline ningemfuata mama ake kwao namcharaza bakora mbele ya baba zake inatia aibu komredi.
Teli himu teli himu, braza!
Companero:
Sap Bhoy! Nchi imebadilika sana. Enzi zetu mashindano yalikuwa ni mitihani ya moko, gwaride, Ngonjera. Lakini sasa mnawafundisha watoto ku-pose sikuhizi.
Yaani komredi nilivyo angalia hivi yaani kangekuwepo kabinti kangu ka Fideline ningemfuata mama ake kwao namcharaza bakora mbele ya baba zake inatia aibu komredi.
Yaani hata mimi ningemwona Kabula wangu hapo mama yake angenitambua leo!!
Unajua inatisha unapoona mzee mzima anaanza kuzungumzia possibility ya mambo ya pedofilia....Lol...siyo mambo ya kuletea utani hayo. Watoto wetu inabidi tuwalinde.
Ndio maana yake mkuu, na kila kitu kinaanza akilini/mawazoni, kwenye fikra na tafakuri. It takes a spark of imagination! Au ndivyo tulivyo? Laiti ange-transform hii fantasy energy into innovative energy, leo Obama angekuwa anampa joint freedom honor pamoja na Mwanafizikia Stephen Hawkins hapa: http://www.buenosairesherald.com/BreakingNews/View/8946
Yaani hata mimi ningemwona Kabula wangu hapo mama yake angenitambua leo!!
hata mimi angekuwepo GIFT wangu hapo,mamaake anerudi kwao kurasini kwa miguu!
Hahahahaha sio Moshi mkuu unampakia kwenye fuso pale Chama manzese za ndizi zile.
moshi nini bana!TULIKUTANA KIMJINI MJINI!......unataka tuachanaje sasa?