KARIA
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 717
- 472
Kura yangu kwa bibi yangu BADILI TABIA! Na Madame B!
Last edited by a moderator:
poa me kundi A namtupia kura yng madame B pale
Kura yangu kwa bibi yangu BADILI TABIA! Na Madame B!
Aika mae! Miye mzima bukheri wa afya! Kitu mtori baada ya hapo kitochi cha mbeke! aah unafaidijeee!
Aika mae! Miye mzima bukheri wa afya! Kitu mtori baada ya hapo kitochi cha mbeke! aah unafaidijeee!
asante mamito charminglady kwa kura yako na dada rabela ucogope kupiga kura ila namshauri hashimu Lundenga kuwepo na kura za maoni halafu yabaki majina manne ya final kura yangu nampigia cousin sisy charminlady na madameB ,i luv u a ma dia arabela
Habhari yenu wakubwa.
Ifuatayo ni orodha ya wanaowania/walio pendekezwa kushindania lile taji la miss chitchat mwezi sept,yapo makundi 2(A na B) :- Orodha kundi A ni Orodha kundi B ni- unatakiwa kupiga kura kwa mtu mmoja kwa kila kundi,mshiriki anaruhusiwa kujipigia kura,unaruhusiwa kumpigia/kujipigia debe ya kuomba kura,mshindi wa kundi A atakunishwa na mshindi wa kundi B kwenye fainali ili kumpata miss,piga kula kwa mfumo ufuatao:- kundi A ni....... Kundi B ni.......NAWASILISHA
We msubiri kama yupo on air.
Wait..
Waiting
Ila umepiga kura?
Section A is madam B and Section B is charminglady.
Kundi A my baby Madame B
Kundi B my client charmglady
Nimepiga.. ila nilikuwa nauliza kama inaruhusiwa kubadili kura yangu maana. miss lazima awe na ushirikiano mzuri
Nimepiga.. ila nilikuwa nauliza kama inaruhusiwa kubadili kura yangu maana. miss lazima awe na ushirikiano mzuri