Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 29,976
- 32,276
Naona kama unaanza kucheza moto!
Ye muache ajishongondoe,
ataozea Lupango.
Naona kama unaanza kucheza moto!
Wewe unajua kama kuna watu wamepiga kura mbili?
Nawe kwa Ugoni hujambo,
ulikuwa wapi jamani?
Nimeikosa kura yako hv hv,
BTW mzima?
Thanks.
Nilikuwepo toka jana usiku nakutafuta mpaka mwanasheria ametishia kunifikisha mahakamani, usihofu kura yangu hujaikosa si unaona muda huo,nimepiga dakika moja kabla ya saa tisa alasiri na asipoihesabu Lundenga ajitayarishe kuwashwa miezi sita mfululizo
Mueleze kbs hubby ajue,
asije akauliza sababu ya kuvunjwa mguu.
Ndo umeibuka saa hizi bi dada!
mie msindikizaji huwa naibuka mwisho. Ngoja nikakupigie kura maana kampen yako si mchezo.