Mashindano ya kumsaka miss chichat september,piga kura kwa umpendaye tafadhari

Mzee aspirin naona umekasirika sana. Si unaona hata my wife wangu mamndenyi wamempiga rula? Naomba acha hasira mkuu. Me mwenyewe last night sikulala na leo nimeanza weekend asubuhi. Karibu tinywe mkuu asprin.
 
Tena natoa nusu saa tu, majina ya wake zangu BADILI TABIA na Yummy yatolewe kabla sijamshusha mtu mshipa. Yaani BT na kimimba chake cha miezi saba akajibaraguze na vibikira charminglady, CUTE na Catherine? Ova mai dedi bode. Hivi waandaaji hawajui kuwa Yummy wangu yuko matenite livu akinilelea mapacha wangu?

Namtaka Ruhazwe JR aje hapa mara moja aniambie inakuwaje Ma- Mrs wanashiriki mashindano ya matineja?
 
Last edited by a moderator:
@Aspirin umeniacha hoi,kwanza nikutaalifu kuwa waandaaji hatukujua kama hao ni wake zako kwakua hatuijaji kujua,pili kwakua miss cc aug aliakua mkeo na sept wanawania wakeo wengine nathubutu kusema wewe ni mtaalamu wa kuoa viwango.mwisho nakuomba upige kura
 
Habhari yenu wakubwa.
Ifuatayo ni orodha ya wanaowania/walio pendekezwa kushindania lile taji la miss chitchat mwezi sept,yapo makundi 2(A na B) :- Orodha kundi A ni
Orodha kundi B ni-
unatakiwa kupiga kura kwa mtu mmoja kwa kila kundi,mshiriki anaruhusiwa kujipigia kura,unaruhusiwa kumpigia/kujipigia debe ya kuomba kura,mshindi wa kundi A atakunishwa na mshindi wa kundi B kwenye fainali ili kumpata miss,piga kula kwa mfumo ufuatao:- kundi A ni....... Kundi B ni.......NAWASILISHA

Aisee baby erotica mbona hayuko kwenye list? :biggrin1:
 
Tena natoa nusu saa tu, majina ya wake zangu BADILI TABIA na Yummy yatolewe kabla sijamshusha mtu mshipa. Yaani BT na kimimba chake cha miezi saba akajibaraguze na vibikira
ha,ha,ha...hapana Asprin kosa hakuna hapa,watu waliangalia warembo wakapendekeza majina,aliyekwambia uoe wadada warembo wakati wewe ni mzee ni nan?
 
Last edited by a moderator:
piga kura kabla ya saa 9 kamili ili kuwapata warembo wawili watakao chuana fainali itakayopigiwa kura kuanzia saa 9 Na nusu hadi saa 5 na dk 55 na mshindi kutangazwa saa sita kamili usiku,usikae mbali na Chitchat hall ili upige kura na kumjua nani mshindi wa Miss chitchat sept atakavyoondoka na vocha ya muda wa maongezi,na zawadi nyingine kibao,usikose
 
Hubby bora unisaidie, yaani mie mke wa ujana wako, nipite jukwaani na kanjiri na bikini kugombea umiss.....

Kushoto niwe nimeshika udogo wa pemba kulia ndimu na kitumbo changu mbele?????

Walaaaahhiiiiiii napigana.....

Tena natoa nusu saa tu, majina ya wake zangu BADILI TABIA na Yummy yatolewe kabla sijamshusha mtu mshipa. Yaani BT na kimimba chake cha miezi saba akajibaraguze na vibikira charminglady, CUTE na Catherine? Ova mai dedi bode. Hivi waandaaji hawajui kuwa Yummy wangu yuko matenite livu akinilelea mapacha wangu?

Namtaka Ruhazwe JR aje hapa mara moja aniambie inakuwaje Ma- Mrs wanashiriki mashindano ya matineja?
 
Last edited by a moderator:
Huu uzandiki na fitna tupu! Yaani baada ya mai waifu cacico kuwagaragaza last time waandaaji wamewaweka wake zangu wengine Yummy na BADILI TABIA kwenye category moja. Huu ni mpango kamambe wa kutaka kuvunja ndoa yangu. Kwamba nikimchagua mmoja wapo mwingine akasirike. Popote ulipo Kongosho na cacico, tafadhali jiunge nami kulipinga hili shindano.

Wake zangu BADILI TABIA na Yummy msikubali kuingia kwenye huu mtego. Tangazeni kujitoa tuwaumbue kina Lundenga wa kizushi.

Baada ya kusema hayo napenda kutangaza kuwa kura yangu nawapigia Yummy na BADILI TABIA. Potelea kura iharibike kuliko ndoa ivunjike.

Nawahi Kaunta ya juu kuungana na hommies Kaizer, KARIA , Mentor, Mr Rocky na Erickb52 kuupiga ulabu mpaka kieleweke. Dada zangu sweetlady, Preta na Blaki Womani naomba mjiunge nami kwenye haya makitu.

Hahaha babu Asprinhapo tu ndo unaponifurahisha...baada ya kazi burudika na...
Ila babu leo nna 'banja' sijui dawa yake n nini...
 
Last edited by a moderator:
Hubby bora unisaidie, yaani mie mke wa ujana wako, nipite jukwaani na kanjiri na bikini kugombea umiss.....

Kushoto niwe nimeshika udogo wa pemba kulia ndimu na kitumbo changu mbele?????

Walaaaahhiiiiiii napigana.....
Ewaaa, ila sijaona sehemu uliyomwambia Lundenga wa JF Mheshimiwa Ruhazwe JR aondoe jina lako. Afu kaniitie na Yummy aje hapa nipate kauli yake kabla sijamrudishia mtu mkono sweta wake achwe na mkewe.
 
Last edited by a moderator:
kundi A>my wife Arabela.
Kundi A>my wife Arabela
Kundi A>my wife Arabela
Kundi A>my wife arabe.
But dini hairuhusu my wife mcute sana.
 
Habhari yenu wakubwa.
Ifuatayo ni orodha ya wanaowania/walio pendekezwa kushindania lile taji la miss chitchat mwezi sept,yapo makundi 2(A na B) :- Orodha kundi A ni
Orodha kundi B ni-
unatakiwa kupiga kura kwa mtu mmoja kwa kila kundi,mshiriki anaruhusiwa kujipigia kura,unaruhusiwa kumpigia/kujipigia debe ya kuomba kura,mshindi wa kundi A atakunishwa na mshindi wa kundi B kwenye fainali ili kumpata miss,piga kula kwa mfumo ufuatao:- kundi A ni....... Kundi B ni.......NAWASILISHA

Hivi wewe Ruhazwe JR umeniweka hapa kwa vigezo gani???? Kwanza kabisa mimi sio 'MISS' ni MRS Asprin aka ODM......pili nna tumbo linakaribia kudondoka na hemea juu juu tu hapa haya wantaka nini mie???!!!!
Na huyu mke mwenzangu BADILI TABIA ambae tumbo lake limechomoza kama mkuki, kutuweka kundi moja manake nini???!!! N wajuafika wote wakeze Asprin una jema kweli na mume wetu wewe??!!!!
Haya tutoe hapa fastaaaa kabla mashetani ya kicongo hayajanipanda
 
Last edited by a moderator:
Hee! Siku hizi hata wake za watu wanashiriki umiss?? Anyways......watupie maphoto basi hapo tucheckshie mapouzzz yooh!! Lol
Kipipi wangu hujambo dear? Hebu nawe nisaidie kuuliza hii njemba mi naona haelewi maana ya umisi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom