Mashindano ya kumsaka miss chichat september,piga kura kwa umpendaye tafadhari

Aliekwambia kuwa anakaa Kwa Mtogole nani?
Mtue babu weee!

Sorry Madam can i ask you ?
Ok !
I'm just need wilingly to know what does it meaning a word Mtogole ?
Is't a some medics? Like Tablets ? Pills ? Capsule ? Or type of liquid syrup ?
Or some local medicine ?
 
nikajua nimekupiga ikulu,utanitaili mara ya pili

Walaa!
Kua na amani ! Mzaha wako umegonga kwenye ukweli ! Nway wakubwa tunafaidi ujue? BN mchezo tupa kule!! She was awarded a local traditional certificate of Mkoleni ! Chezeiya BN weyee!
 
Mi ningempigia Remmy lakini nimesita aliposema akishinda kwenye sherehe atawakaribisha Shehe Ponda,Mwigulu na Nape,akiahidi kutowaleta hao jamaa kura yangu ataipata..
 
Last edited by a moderator:
shemeji nimependa jinsi ulivyoweza kufata utaratibu,mambo vip lakini shemeji langu?habari za tandale kwa mtogole?wazima huko uwanja wa fis?

poa 2 shemeji, me nipo, mbona wanshusha hadhi? Me ckai tandale bwana, kwanza hata cpajui, halafu naona cku hzi dogo kapata mme mwengine, ila me cjatambulishwa, so nakujua ww.
 
ha,ha,ha,teh,te,....hii kura inaujumbe mzito sana kwangu,ha,ha,ha,....dizain ya Kura ilivyopigwa tu imemanisha kitu,hujambo lakini X wangu?

Nani X wako?
Taratibu usiniharibie sawa?
Kama umeandaa hli shindano ili upate maharawa,umechemka!!
Tutahamisha viungo vyako nyeti viwe utosini.
 
Back
Top Bottom