Mashindano ya kumsaka miss chichat september,piga kura kwa umpendaye tafadhari

Na kama kura imeingizwa kwenye kiboksi je?
Ila jaribu kum-bembeleza "Anko" huenda atakusikiza.
Ushirikiano?
Teh teh teh teh,
Next..?? Elia

anaruhusiwa kubadili kwa kuedit ilf post ya kura yake
 
Last edited by a moderator:
Na kama kura imeingizwa kwenye kiboksi je?
Ila jaribu kum-bembeleza "Anko" huenda atakusikiza.
Ushirikiano?
Teh teh teh teh,
Next..?? Elia

Kubembeleza sijui, hasa akiwa dume ndo siwezi kabisaaa... kama kunazengwe ntatumia rupia huwa haishindwi
 
Kura yangu kwa charminglady! @ Kipipi hayupo? Naona jeneneke wangu hamjamweka maana the way she is beautiful, hakuna mshindani!

mkuu orodha ya wawaniaji ilipendekezwa na wana-cc katk thread moja iv wewe hukupendekeza!pole ila usikae mbali kwenye fainali kuanzia saa 9 kupiga kura nyingine kwaajil ya kumpata mshind
 
Last edited by a moderator:
asante mamito charminglady kwa kura yako na dada rabela ucogope kupiga kura ila namshauri hashimu Lundenga kuwepo na kura za maoni halafu yabaki majina manne ya final kura yangu nampigia cousin sisy charminlady na madameB ,i luv u a ma dia arabela

thanx my cousin for ur vote!
 
Huu uzandiki na fitna tupu! Yaani baada ya mai waifu cacico kuwagaragaza last time waandaaji wamewaweka wake zangu wengine Yummy na BADILI TABIA kwenye category moja. Huu ni mpango kamambe wa kutaka kuvunja ndoa yangu. Kwamba nikimchagua mmoja wapo mwingine akasirike. Popote ulipo Kongosho na cacico, tafadhali jiunge nami kulipinga hili shindano.

Wake zangu BADILI TABIA na Yummy msikubali kuingia kwenye huu mtego. Tangazeni kujitoa tuwaumbue kina Lundenga wa kizushi.

Baada ya kusema hayo napenda kutangaza kuwa kura yangu nawapigia Yummy na BADILI TABIA. Potelea kura iharibike kuliko ndoa ivunjike.

Nawahi Kaunta ya juu kuungana na hommies Kaizer, KARIA , Mentor, Mr Rocky na Erickb52 kuupiga ulabu mpaka kieleweke. Dada zangu sweetlady, Preta na Blaki Womani naomba mjiunge nami kwenye haya makitu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom