Mashindano ya kuhifadhi Quran kuanza Aprili 10

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,502
9,282
Mashindayo ya Quran ya kitaifa na kimataifa yanatarajia kuanza Aprili kumi ya mwaka katika viwanja vitatu tofauti Mkapa, Mnazi mmoja pamoja na Diamond Jubilee.

Mashindano hayo ambayo hufanyika kila mwaka na kushirikisha watu kutoka maeneo mbalimbali ya ndani ya nchi na nje ya nchi yameandaliwa na taasisi tatu tofauti ikiwemo ya Al hekma huku washindi wakitarajiwa kupata zawadi na fedha taslimu ambazo zimepangwa kwa kipindi hicho.
 
Wanajenga Hospitali na wamejenga Shule zote zipo Temeke.
Mashindano ya Qurani tukufu wakati wa mfungo wa Ramadhani ni chakula ya roho.
Punguza Chuki kijana.
Taja Hospitali hata moja ya Rufaa yenye hadhi Kama Bugando u KCMC,au chuo kikuu chenye hadhi sawa na Tumaini au SAUTI.
 
Mashindayo ya Quran ya kitaifa na kimataifa yanatarajia kuanza Aprili kumi ya mwaka katika viwanja vitatu tofauti Mkapa, Mnazi mmoja pamoja na Diamond Jubilee.

Mashindano hayo ambayo hufanyika kila mwaka na kushirikisha watu kutoka maeneo mbalimbali ya ndani ya nchi na nje ya nchi yameandaliwa na taasisi tatu tofauti ikiwemo ya Al hekma huku washindi wakitarajiwa kupata zawadi na fedha taslimu ambazo zimepangwa kwa kipindi hicho.
Seriously jamani, hivi hii inasaidia nini watu?

Unakariri kitu kisicho na faida maishani mwako ili iweje?
 
Back
Top Bottom