and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,103
- Thread starter
- #281
Taifa Secondary School ipo wapi? Mwenye exactly location tafadhali
Nenda Bwalon kwa Tarimo.Utakuja kunishukuruNjoo bar Moja inaitwa Kingstone mzee baba hutojutia
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Hahaha hatari mkuu.
Mkuu ebu tupiako ile short clip ya wanafunz wakicheza kwa madaa.Kitimoto Safi naweza kupata wapi mitaa ya Mbezi Mwisho?
Yote maishaVijana wanamwagika Kariakoo hao kuuza madera
Mwendo wameumaliza 🤣🤣🤣🤣🤓🤓🤓Hakika vijana WAPENDA starehe mmeamua kutufungulia mwaka na ZERO zenu.
Eg.Taifa Sec. School, Division ZERO 474 + 533 Division 4 (ambayo ni division ZERO iliyochangamka) = YUTONG 15 full capacity).
NB: unapata F F F F mpaka Civics, Kiswahili?
SEKTA zitakazonufaika na mgao huu WA division ZERO;
1. Ualimu,
2. Polisi,
3. Bongo Movie,
4. Singeli.
5. Umoja wa vijana (vyama vya Siasa).
6. Baa
We ulisomea nn chuo kwani si ualimu au acha zako hiyo sio fani ya kujivunia mkuuu utachekwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tena ukute unafundisha o level unatutambia hapa tuToa ualimu kwenye ujinga wako ,,nilipiga 1.15 O level nikapiga two Adv pnt 12 PCB and ama a teacher
DuuhNjoo bar Moja inaitwa Kingstone mzee baba hutojutia
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app