Mashetani yamempanda. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashetani yamempanda.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mzawahalisi, May 4, 2012.

 1. m

  mzawahalisi JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  wanandugu wenzangu, nipo kijijini kwenye msiba. Imefika usiku huu watu wamerudi majumbani kujipumzika. Moja ya ndugu zangu mara ghafla amepandisha mashetani kilianza kama kwikwi, mara anajitupatupa huku na huku na kuongea very broken english.
  Mimi nimeomba mungu lakini nikiri kuwa sina karama hiyo maana sasa ni lisaa limepita bado shangazi huyu anahangaika tu hapa chini. Mimi nimeshindwa nimekaa chini na pembeni naangalia tu sijui hata nifanyeje.
  Wanajamii wenzango wenye mwangaza wa haya mambo mnisaidie.
   
 2. papason

  papason JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Ohoo, ohoooo, ohooo my friend hiyo ni big noma ita wa wazee washugulike nae
   
 3. m

  mzawahalisi JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2012
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Nashukuru Mungu yamepita ama yametoka! Hatimaye amepata ufahamu anaulizia vitu vyake! Anaulizia mda, chakushangaza ni kwamba hajui nini kimetokea! Mungu asnate naomba unijalie nguvu na moyo wa kujifunza zaidi juu yako, unipe uwezo wa kukabili mambo ya namna hii. Uwezo waa kukemea masheatani maana nilijiona sina uwezo wa kukemea pepo wachafu waliokuwa wanamtesa shangazi huyu.
  Sorry members i was a bit confused.
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  duh shetani linamwaga ung'eng'e, litakua limetokea kwa ulaya hilo....
   
 5. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  pole na msiba mpeleke kwa mzee/kijana wa upako
   
 6. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ukiona hivo chapa makofi. Hysteria tu inamsumbua.
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  asante. . . . .

   
 8. Eliza wa Tegeta

  Eliza wa Tegeta JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 251
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Piga kelebu huyo!!
  Pambafu!!
   
 9. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Mwali hii ishu ipo serious ila umechukulia kiutani.teh teh sasa utachapa nini?mtu au pepo,na pepo utaichapaje?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  May 5, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Huyo unatandika na kipisi cha mpira wa kumwagilia pepo zinatokea maskioni! Pepo gani hazijui kingereza kizuri zinaongea very broken english? Ebooo!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Inaweza kuwa malaria imepanda kichwani,.mpeleke hospital mkuu
   
 12. Nish

  Nish JF-Expert Member

  #12
  May 5, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 732
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Broken english huyo pepo atakuwa hakwenda shule lol!
   
 13. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #13
  May 5, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Jmos nilipita sehemu nikakuta kisanga kama hiki binti mrembo alikuwa kwenye mihangaiko yake kidogo akaanza kulia mara akaanguka ,nimesimama nashangaa mara kaanza kujirusha kwa nguvu mpaka damu zinamtoka ,Maneno niliyosikia anasema nipeni hirizi yangu nipeni hirizi yangu watu wanauliza iko wapi ..bado anaendelea kupiga miguu na kichwa , wanaume wenye nguvu wanamshika akijitingisha na kuwasukuma huko njeba zinadondoka zenyewe
  Ilibidi nitoke eneo la tukio
  sijui aliishia wapi yule binti
   
 14. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #14
  May 5, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Kwani jini lilisema linataka kiti afanyiwe nini?
  Maana juzi kuna jini alimpanda mtu kwenye daladala, likasema halimtoki mtu mpaka kiti alipiwe nauli.
   
 15. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #15
  May 5, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35

  FirstLady1 eeh, sasa si ungevumilia kidogo ili tujue huyo mhanga aliishiaje, na hizo njemba zilizoshiba zilichomokaje kimya kimya.

  Wacha niwe na imagination tukio lilivyoisha.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. m

  mzawahalisi JF-Expert Member

  #16
  May 5, 2012
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Mwali, Kongosho na Eliza hamnitakii mema, nichape makofi shangazi? Nini ingetokea faham itakapo mrudi na kujikuta na mauvimbe ya makofi usoni? Alafu aambiwe ni shangazi sijui mpwa kamchapa makofi? Akaaa sikutaka balaa mie nilikaa pembeni naomba mungu huku nashangaa maajabu.
  Kunamambo yalitoke mpaka leo sijapata tafsiri sahihi.
  1. Brother yangu ambaye mlango wa kanisa huuona kwa nadra sana, aligeuka mchungaji gafla na kukemea pepo seriously utafikiri ni mtu wa maombi kwelikweli.
  2. Mmama mmoja yeye ni wa hukohuko kijijini alikuwa anampaka sukari kwenyeviganja utosi na nyayo mpaka nikaona atatu alizia sukari nikamnyang'anya. Nilipomwuliza kwanini anafanya hivyo akaniambia huoni kuwa maezimia? Wakati mtu anakukuruka na kuongea kingereza chake cha ajabu.
  3. Dingi mmoja ambaye nilikuwa namwamini kuwa atakuwa na mwangaza zaidi alikimbia na kwenda kuwatangazia ndugu kuwa hali ya shangazi ni mbaya na hajui kama wakija watamkuta.
  4. Mama ambaye nimkatoliki alikuwa bzzy kukemea pepo kama born again na hakukumbuka sala wala rozali aliyokuwa ameivaa mpaka pale nilipoona inawezekana haya makelele ya kukemea hayasaidii nikawaomba tuombe kimoyo m,'mm'????'?'mm'mm'm'moyo ndipo alipo kumbuka sala za kikatoliki na rozali akaitumia p pia.
  Mwisho wa yote Namshukuru Munpgu leo shamgazi yangu huyu ni mzima na mwenye tabasamu usoni kwani maneno ya yule mzee yangetimia ingekuwa ni pigo lisilo kifani kwani tuliye mzika ni dada yake yaani shangazi yangu the 2nd.
   
 17. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #17
  May 6, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Mtafutie mfupa wa NOAH umtupie.
   
 18. m

  mzawahalisi JF-Expert Member

  #18
  May 6, 2012
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Akhsante Ummu Kulthum.
   
Loading...