Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,278
- 108,286
shepu ya kwanza left ni very true.
Basi tutakuja kubanana huko mkuu...
shepu ya kwanza left ni very true.
Ahahaha karibuni sana.Basi tutakuja kubanana huko mkuu...
Mkuu Tuko,Siku zote wachagga wanakuwa wakali wakitaniwa kuhusu shepu. Ila naamin ni utan tu wa kimakabila.
HahahaaMkuu Tuko,
Siyo utani wa shepu tu kwa hawa wenzetu.
Kuna threads kuhusu Ukwapuaji, kupenda chapaa, ukabila, ukanda etc.
Lakini kuna yule mchaga ambaye ana duka linalouza Wali, cement, petroli, vioo, mbao, unga, spea za bodaboda, mbege, vyumba vya wageni, nyanya, baruti, Biblia, konyagi nk.!!
Made my day!!!!! Haaah ha ha haaaaa!!!!!!!!!!!!!!!Mkuu Tuko,