Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,629
- 112,425
hujanisoma kwa makini, ukinisoma kwa makini utanielewa vizuri sana.I completely disagree with you mkuu. Heahima lazma iwepo. Mimi ni mtoto wa kike, hata kama nitachangia shilingi kadhaa lakini kuna levels of authority hapo nyumbani. Hata kama ni kwa majadiliano tu, ni lazima nipate approval ya say kaka mkubwa na baba mdogo.
mwisho wa siku mtoa mada anatakiwa amuweke mahali pale kistaarabu. Taratibu na meseji itawafikia.
WanaJF kuna jambo linanisumbua naomba ushauri,kuna Shemeji yangu kamuoa dada yangu wa Kwanza ni kikabila ni Mluguru kazi yake Mchungaji,tabia zake zimevuka mipaka anapenda Makuu na kutawala sasa hivi ndiyo kajifanya King wa familia yetu kila kitu cha familia anataka aamue yeye sijui anatumika na mkewe,ila mpaka mashemeji zetu waliooa dada zangu wengine anataka awatawale,sisi ni watu wazima kila mtu anaishi kwake ila akipiga simu masuala ya familia yetu anatufokea tu bila sababu za Msingi,nimemuheshimu mda mrefu ila nashindwa naombeni ushauri namna ya kufanya coz nafikiria kumpa 'mbovu' kutokana na kuzidiwa na Makwazo yake.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Mwambie hajaoa ukoo mzima.
mpe za uso.. anahitaji SHOOyaKIBABE huyo
Kwani nyie mkiowa/ kuolewa mnabaki hapohapo kwenu? sijaielewa vizuri, kila mtu yuko kwake na familia yake mchungaji anakuja vipi kuwaamulia mambo? Baba/Mama yenu hayupo, kama hayupo hakuna mkuu wa familia kwa sasa? huyo mchungaji anaishi hapo kwenu...? sijaelewa vizuri toa maelezo. Kwetu sisi shemeji anaishia kwenye vikao vya familia, kwenye vikao vya ukoo hayupo.
Labda ki uchumi mnamtegemea yeye lazima apaze sauti na kwenu
Vunjeni ukimya! Samaki hukunjwa akiwa mbichi kwani mnavyomuacha hivyo ataanza kutawala familia zenu. Ni busara sana endapo mtakaa ndugu wote then mjadiliane halafu mumtume kama mjumbe akampelekee taarifa kuwa enough is enough.
HUENDA AKABADILIKA.
Talk to your sister man. it may be the wisest way. Au dadako naye haeleweki?
Huyo anataka awe msimamiz wa mirathi baadaye
Nimecheka sana Victor uve made ma day!
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Mamlaka ya kuitawala familia yenu kayatoa wapi?Hakuna anayemtegemea kwa chochote kila mtu ana maisha yake,hata huo Uchumi wa kutegemewa hana ila nadhani ni Makuzi tu ya hovyohovyo na tunadhani huenda anatumwa na Mkewe sema hatuna uhakika.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Labda ki uchumi mnamtegemea yeye lazima apaze sauti na kwenu
hujanisoma kwa makini, ukinisoma kwa makini utanielewa vizuri sana.