Masheikh wako wapi? Nchi inapotea

Masheikh wako wapi? Nchi inapotea

chabuso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
6,379
Reaction score
5,887
Kwa muda huu katika mitandao ya kijamii habari zinazozngumzwa ni vipi Maaskofu na wachungaji wa dini ya Kristo wanavyomkosoa Raisi Magufuli vipi anavyoingoza nchi ya Tanzania

Binafsi naona kama hawa watu wa Mungu wamechelewa,walikuwa wamkosoe raisi pale tu alipoanza kuwakashifu na kuwaadhiri raia anaowaongoza hadharani mbele ya halaki ya watu.

Hawa watu wa mungu walitakiwa waanze kumkaripia kumkosoa Raisi pale tu yeye na mtoto wake mkuu wa mkoa walipokuja na tabia wanayoita "Kutumbua majipu"..

Lakini sio mbaya afadhali hawa watu wa Mungu wenye imani ya kristo wameweza kusimama na kuwatetea wanyonge ambao hawana nguvu za kumwambia Raisi kuwa anachofanya sicho,ambacho haifai kumfanyia hata mtoto wako..

Sasa kuna hawa watu wa Mungu wenye imani ya Kiislam masheikh,hawa watu ndio wananishangaza mimi,Juzi nimesoma katika mtandao wa kijamii Sheikh mkuu wa Tanzania (Bakwata) anawamrisha waislam wasifanye mazoezi ya karate..

Kama mtu wa mungu unaiona nchi wapi inaelekea,unaona raisi kakata kamba,hakamatiki,wananchi wanalalamika kila kona wewe unakwenda kuwaambia watu wa imani yako wasifanye mazoezi ya karate..,Ajabu

Ningependa kumwambia Sheikh mkuu wa dini ya kiislam kuwa mazoezi ni njia moja ya kuondoa mkusanyiko wa mawazo(stress) katika akili ya binadamu,Jela zote ulaya lazima wafungwa wawekewe sehemu ya kufanya mazoezi,dakini 30 kwa siku..,sijui jela za Tanzania ziko je kwa hili,wanafanya hivyo ili kuondoa "stress" za wafungwa

Watanzania kwa sasa wanahitaji mazoezi ya nguvu ili kuondoa "stress",maisha yamekuwa maugu kila mtanzania ana mawazo yaliyomzidi uwezo...

Huyu Sheikh angeligombania mambo ya msingi wanayoyataka waislam mfano mahakama ya Kadhi ambayo imepigwa vita na wafuasi wa dini nyangine,Masheikh kutoka Zanzibar wamewekwa ndani zaidi ya miaka mitano(5) sasa bila kupewa huku yoyote...

Au angalau huyu Sheikh asimame pamoja na watu wa Mungu wenye imani tafauti na yeye ili kumkosoa raisi kwa haya anayowafanyia watanzania ambao ndio anaowaongoza

Nawapa hongera kwa watumishi wa Mungu wenye imani ya Kikiristo kwa kusimama kuitetea demokrasi na haki za msingi za watanzania wote bila ya kujali imani zao
 
Au angalau huyu Sheikh asimame pamoja na watu wa Mungu wenye imani tafauti na yeye ili kumkosea raisi kwa haya anayowafanyia watanzania ambao ndio anaowaongoza

It is Never Too Late in Life ni Muda Mwafaka
 
Yani hao hao wanaoambiwa hawana elimu na ni magaidi na ndiyo maana wengine wapo jela,ndiyo wewe unataka waongee?²
Mkuu,lazima watokee watu wakujitolea muhanga,Nchi yenye raia wenye nidhamu ya woga,haiwezi kuendelea hata siku moja,maendeleo yanakuja kutokana na uhuru wa kujiamulia,uhuru wa kufikiri,uhuru wa kuchangia
 
Mkuu,lazima watokee watu wakujitolea muhanga,Nchi yenye raia wenye nidhamu ya woga,haiwezi kuendelea hata siku moja,maedeleo yanakuja kutokana na uhuru wa kujiamulia,uhuru wa kufikiri,uhuru wa kuchangia
Ndiyo nimekwambia hao unaotaka waongee ni magaidi na hawana elimu,hivyo ndivyo wanavyotambuliwa na ndiyo maana wengine wako jela hadi leo.

Sasa watu hao wataongea nini?
 
Mkuu,Hao waliowekwa ndani wao washafanya wajibu wao,waliobakia waendeleze,sio wambweteke kama walivyobweteka masheikh wakuu,au na wao wanaogopa kuitwa magaidi,watawaita magaidi wangapi
 
Makafiri wanafki sana nyie,pambaneni na mkatoliki wenu huyo sisi tukiongeaa si tunauwawa kabisa kama ponda tu alikua anatetea mali za waislamu alipigwa risasi leo tumuongelee raisi tena raisi huyu tufwee..
 
Kwa muda huu katika mitandao ya kijamii habari zinazozngumzwa ni vipi Maaskofu na wachungaji wa dini ya Kristo wanavyomkosoa Raisi Magufuli vipi anavyoingoza nchi ya Tanzania

Binafsi naona kama hawa watu wa Mungu wamechelewa,walikuwa wamkosoe raisi pale tu alipoanza kuwakashifu na kuwaadhiri raia anaowaongoza hadharani mbele ya halaki ya watu.

Hawa watu wa mungu walitakiwa waanze kumkaripia kumkosoa Raisi pale tu yeye na mtoto wake mkuu wa mkoa walipokuja na tabia wanayoita "Kutumbua majipu"..

Lakini sio mbaya afadhali hawa watu wa Mungu wenye imani ya kristo wameweza kusimama na kuwatetea wanyonge ambao hawana nguvu za kumwambia Raisi kuwa anachofanya sicho,ambacho haifai kumfanyia hata mtoto wako..

Sasa kuna hawa watu wa Mungu wenye imani ya Kiislam masheikh,hawa watu ndio wananishangaza mimi,Juzi nimesoma katika mtandao wa kijamii Sheikh mkuu wa Tanzania (Bakwata) anawamrisha waislam wasifanye mazoezi ya karate..

Kama mtu wa mungu unaiona nchi wapi inaelekea,unaona raisi kakata kamba,hakamatiki,wananchi wanalalamika kila kona wewe unakwenda kuwaambia watu wa imani yako wasifanye mazoezi ya karate..,Ajabu

Ningependa kumwambia Sheikh mkuu wa dini ya kiislam kuwa mazoezi ni njia moja ya kuondoa mkusanyiko wa mawazo(stress) katika akili ya binadamu,Jela zote ulaya lazima wafungwa wawekewe sehemu ya kufanya mazoezi,dakini 30 kwa siku..,sijui jela za Tanzania ziko je kwa hili,wanafanya hivyo ili kuondoa "stress" za wafungwa

Watanzania kwa sasa wanahitaji mazoezi ya nguvu ili kuondoa "stress",maisha yamekuwa maugu kila mtanzania ana mawazo yaliyomzidi uwezo...

Huyu Sheikh angeligombania mambo ya msingi wanayoyataka waislam mfano mahakama ya Kadhi ambayo imepigwa vita na wafuasi wa dini nyangine,Masheikh kutoka Zanzibar wamewekwa ndani zaidi ya miaka mitano(5) sasa bila kupewa huku yoyote...

Au angalau huyu Sheikh asimame pamoja na watu wa Mungu wenye imani tafauti na yeye ili kumkosea raisi kwa haya anayowafanyia watanzania ambao ndio anaowaongoza

Nawapa hongera kwa watumishi wa Mungu wenye imani ya Kikiristo kwa kusimama kuitetea demokrasi na haki za msingi za watanzania wote bila ya kujali imani zao
Unajifanya kiziwi wa upande mmoja wa dini fatilia utona uonevu uliopo asubutu Sheikh kuongea atawakaribisha wenzie Kina Kakobe sero na ninani kakuambia hilo baraza ni la waisilamu una changanya jumuia za kiisilamu na jumuia za chama tumuombe Mungu viongozi wageuke na kuongoza nchi kwa misingi ya sheria bila ubaguzi
 
Back
Top Bottom