Yaani baadhi yenu nyie jamii!Hela za kuleta maji ndo zilizo enda kukarabati miundo mbinu mliyo iharibu.
Si mnakulana mavi , mnaona matamu au vipi
Kama mnatambua umuhimu wa miundo mbinu ya raia mbona mliiharibu ?ina maana msinge zuiwa hata hiyo miundo mbinu ya maji mnayo lalamikia mngeiharibu.Yaani baadhi yenu nyie jamii!
Kwa hiyo na hali hii ya ukosefu wa kitu muhimu kama maji bado mmeshikamana kindakindaki na huyu mwanamke?hakika ujinga mzigo!!!
Chief,sipo hapa kubishana na wewe ninachotaka kukwambia ni wewe na watu mfano wako jifunzeni kuangalia mambo nje ya box mlilojifungia na obviously ni box la dini.Kama mnatambua umuhimu wa miundo mbinu ya raia mbona mliiharibu ?ina maana msinge zuiwa hata hiyo miundo mbinu ya maji mnayo lalamikia mngeiharibu.
Hayo maji ya mengi ya mto ruvu utayavunia wapi ukiacha pale ruvu?Si kwamba najiweza mkuu, familia na unakuta mnataka kufua,
Hii changamoto ilitakiwa itatuliwe tangu Nyerere, magufuli,mkapa,
Wa sasa ilitakiwa afanye umaliziaji tu....hivi kwa mfano msimu mzima wa mvua za masika maji asilimia kubwa ya MTO Ruvu yanaenda baharini, kiasi kidogo tu ndio tunakivuna kwa matumizi yetu,
Sasa kunashindikana nini labda kukatengenezwa bwawa kubwa tukawa tunayavuna yakasaidia kipindi cha kiangazi
Kwa hiyo tufanye vurugu,tuchome miundombinu,tupambane na polisi kisa maji hakuna?..Amani ni bora kuliko maji. Tulieni msilete taharuki
NImesema tulieni msilete taharuki. Wapi nimeongelea habari za vurugu?Kwa hiyo tufanye vurugu,tuchome miundombinu,tupambane na polisi kisa maji hakuna?..
Kule bwawa la mwl Nyerere kwani wameyachepushaje maji mkuu?Hayo maji ya mengi ya mto ruvu utayavunia wapi ukiacha pale ruvu?
Usichokijua (unakijua but uta-pretend hukijui) anachofanya huyu ni tone tu ktk bahari kwa wanachofanya wenzako kwenye imani yake,na niwapongeze mods wapo fair sana kwenye mijadala inayojikuta imeegemea kwenye hizo dini zenu.Huwezi kumuita Mtume Muhammad (pbuh) kuwa ni Muddy boy...Halafu kuna ushahidi wa kutosha wa haya niliyoyaandika kuhusu Lwiva
View attachment 3515116
Hao huwa wanaambiwa nini waseme na Bi. Mkora.
Kwani kuna aliyewataka mfanye vurugu kisa maji hakuna?upo nje ya mada!Kwa hiyo tufanye vurugu,tuchome miundombinu,tupambane na polisi[SIZE=5]kisa maji hakuna?..[/SIZE]
Aliyefanya vurugu ni aliyeiba uchaguzi, kuteka na kuuwa watuKwani kuna aliyewataka mfanye vurugu kisa maji hakuna?upo nje ya mada!