The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 8,554
- 20,359
GT
Mwenye taarifa atupe hapa. Hawajatoa tamko huko?
Mwenye taarifa atupe hapa. Hawajatoa tamko huko?
HatariGayizi..mpk TEC watoe waraka wa kuwatetea wananchi kupata haki yao ya maji ndpo hao mabwana waitwao masheikh watapkiwa ubwabwa na watajtokeza kupnga TEC kwmb wanaleta udini kwny inshu ya maji.
Kikubwa amani.. Mengine ni chuki binafsii kutokana na jinsia imani na asili😭
Kipaumbele AMANI aha ha ha a ha 😆 🤣Kikubwa amani.. Mengine ni chuki binafsii kutokana na jinsia imani na asili😭
wanasema mna chuki binafsi
Wana akili za bata haoMasheikh shule ndogo hata masuala madogo ya msingi kutatua kichwani hawawezi.
Wanasema watakula wali bila kunawa..
Leo umetawazia mchangaShida ya maji imeanza Leo ?
Chimbeni visima acheni kulalamika
Mtu mwenye shule kubwa anaweza kuabudu sanamu ?Masheikh shule ndogo hata masuala madogo ya msingi kutatua kichwani hawawezi.
Mimi nipo Dar Buza kwa Lulenge , maji mambombani tele hakuna shida ya majiLeo umetawazia mchanga
Ubinafsi huoMimi nipo Dar Buza kwa Lulenge , maji mambombani tele hakuna shida ya maji