Mashauriano ya kiroho: Hifadhi hii mada itakusaidia kwa mengi

Mashauriano ya kiroho: Hifadhi hii mada itakusaidia kwa mengi

1. Tiba ya kiroho yenye nguvu iliyobaki ni tiba ya chumvi ya mawe maana mpaka sasa haijanajisiwa wala kuchakachuliwa

Unapopata shida yoyote ya kiroho tumia utakaso kinga na uamsho wa chumvi ya mawe

Ya chumvi tupe somo tena labda utaeleza kizaidi na mifano ikiwaje iweje

Achana kabisa na clip za mitandaoni zinazofundisha mambo ya giza! Badala ya kukusaidia zitakumaliza
Naweka kituo hapa... Karibuni sana!
Hii
duh
Huwa nakutana na wasomaji wa hadi mikono kiganja cha mtu huyo mpopo anamweleza mtu kila lake, yupo tiktok anakuwa live...

Mengine yapi..

Eeeh napenda sana kujua ya maishani..

Mola awe nasi, Amina.
 
Chuma ulete halikupi utajiri wala mali za maana chuma ulete halitaki vitu vizuri chuma ulete halitaki elimu wala maarifa chuma ulete ni pepo chafu lenye mzio na usafi

Ukitembelea maduka ya wahindi kariakoo na posta na miji mingine yenye hii kabisa hutakosa kuona wamefunga kamba yenye majani ya mwembe na wengine kufuga kasuku(msema kweli na msema chochote) hawa wanaamini kuwa hiyo ni dawa ya chuma ulete

Kwa wale wasiojua chuma ulete ninini iko hivi unafanya biashara tangu asubuhi mpaka jioni unauza kama kawaida lakini inapofika wakati wa kufunga mahesabu pesa iliyopo na tofauti na vitu ulivyouza au ulikuwa na laki moja mfukoni anatokea mtu na kukuomba chenchi unampa lakini baadae kila ukipiga mahesabu haibalance..! Hiyo ndio chuma ulete

Pepo la chuma ulete linakaa kwenye noti unayopewa na mhusika mara nyingi akitaka chenchi hapo ndio chuma ulete hufanya kazi vizuri na kwakweli chuma ulete ni mazingaombwe tu ambayo hayana faida yeyote kwa mmiliki zaidi ya kumpatia vitu vya kipuuzi kabisa na vya kifukara

Chuma ulete ni pepo lisilo na faida kwa mmiliki lakini lakini likimtia hasara mlengwa ndio maana chuma ulete ni maarufu zaidi uswahilini kwenye biashara za kawaida kuliko zile biashara kubwa kubwa zenye faida nono na kwakweli chuma ulete ni kitu cha kufikirika zaidi kuliko uhalisia
 
Ya chumvi tupe somo tena labda utaeleza kizaidi na mifano ikiwaje iweje

Hii
duh
Huwa nakutana na wasomaji wa hadi mikono kiganja cha mtu huyo mpopo anamweleza mtu kila lake, yupo tiktok anakuwa live...

Mengine yapi..

Eeeh napenda sana kujua ya maishani..

Mola awe nasi, Amina.
Nitakutag kwenye mada zote za tiba ya chumvi
 
Sasa Mshana Jr unatushauri tutumie nguvu zipi sasa? Au ndo tumkaribie mungu kwa kuongeza maombi, siku za kufunga na siku za kuhudhuria kanisani?

Au ndo tuogee chumvi mpaka ngozi zetu zibadilike
 
Sasa Mshana Jr unatushauri tutumie nguvu zipi sasa? Au ndo tumkaribie mungu kwa kuongeza maombi, siku za kufunga na siku za kuhudhuria kanisani?

Au ndo tuogee chumvi mpaka ngozi zetu zibadilike
Tumepewa akili na maarifa ili vitusaidie kuchambua, kutafakari na kutatua changamoto zinazotukabili katika maisha
 
Tumepewa akili na maarifa ili vitusaidie kuchambua, kutafakari na kutatua changamoto zinazotukabili katika maisha
Sasa naona kila kitu umekikataa na haujatoa mwongozo wako.

As the thread starter, toa njia unazoona sahihi za kupitia na tufanikiwe
 
Sasa naona kila kitu umekikataa na haujatoa mwongozo wako.

As the thread starter, toa njia unazoona sahihi za kupitia na tufanikiwe
Mshike sana Mungu wako nyakati zote kwa imani yako.. Maombi na dua viwe sehemu ya maisha yako
Usidanganyike na simulizi za mitandaoni kuhusu kufanikiwa kwa njia za mkato ama kutatua matatizo kwa kutumia ushirikina na pete za bahati
 
Amen.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom