mashati mazuri-wapi yanauzwa DSM????

mashati mazuri-wapi yanauzwa DSM????

Halafu mengi si cotton halisi ila wanaandika ni 100% Cotton hiyo inanipa shida sana,ukichukulia hali ya hewa ya dar inakuwashida kuvaa nguo ambayo si cotton.

Kwa mji wetu na hali yetu ya hewa wakuu epukeni polyester. hii huwa inaharibu perfume 🙂 na kuipa nguvu ile perfume ya asili. cotton halisi kaka jarbu kuichunguza achana na kusoma nembo. wachina wanatupiga na mengi 🙂
 
Nakushauri wikiendi panda ndege ya kukodi hadi london. Ulizia maduka ya harrods pale mpigie simu victoria beckham akusaidie kuchagua utapata shati zuri. Then rudi dar utaona.
 
ela ya kununua jeans, ndula na t shirt mtu anataka shati moja,
dah! acha nickilizwe Dear God by kala jeremmiah
 
ungekuwa serious na patience ningeweza kuongea na wewe dili nikakuletea kutoka UK. kama uko interested nijulishe!! cheers
 
Salaam wakuu.
Hivi hapa DAR kuna sehemu naweza kupata mashati ya size 16-18,lakini ya good quality?hata kama ni local made??
Sihitaji branded lakini naweza ku afford kama 30-40,000TZS/shirt.
Nimekwenda maduka mengi Quality Plaza-hapa yako mpaka ya 99,000 lakini ?*?samora -loooh!
Lakini nina imani panaweza kuwa na watu hata kama wana import kutoka UK/US/Brazil , hata kama ni nyumbani nitayafuata.
Nimeamua kuuliza kwa sababu ya Kariakoo labda nanunua sehemu/maduka mabaya.
Asanteni!

Ela y kula yenyewe inakupiga chenga!! ........wahaya bhana!!
 
Siku.ukitaka shati la kulipuka nenda adoni, opposite na mlimani city just at tha roundabout. Andaa kalaki kamoja kwa shati, quality ghanaian linen.
 
Wakuu ,asanteni.Nimeyapata.
Nawashukuru sana walionisaidia.
 
Back
Top Bottom