Mashati anayovaa Lowassa naweza kuyapata wapi kwa hapa dar?

Naipendatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2011
Posts
5,091
Reaction score
8,243
Wakuu nayapenda sana mashati anayovaa Rais Mtarajiwa Lowassa, na kila siku naona anavaa ya rangi tofauti tofauti. Kwa hapa dar naweza kuyapata wapi? Na bei yake inaweza kuwa shs ngapi?
 
wakuu nayapenda sana mashati anayovaa rais mtarajiwa lowassa, na kila siku naona anavaa ya rangi tofauti tofauti. Kwa hapa dar naweza kuyapata wapi? Na bei yake inaweza kuwa shs ngapi?

bila shaka wewe ni kapuku, ungeweza kuyanunua usingepitisha umbea kwanza jamiiforum................anyway nenda mlimani city, duka kama la 4 kutokea nakumatt, bei utakutananayo humo ndani. Au duka la wolworth masaki
 
Wakuu nayapenda sana mashati anayovaa Rais Mtarajiwa Lowassa, na kila siku naona anavaa ya rangi tofauti tofauti. Kwa hapa dar naweza kuyapata wapi? Na bei yake inaweza kuwa shs ngapi?

Nenda mlimani city. Yanauzwa Tshs 105,000 @
 
bila shaka wewe ni kapuku, ungeweza kuyanunua usingepitisha umbea kwanza jamiiforum................anyway nenda mlimani city, duka kama la 4 kutokea nakumatt, bei utakutananayo humo ndani. Au duka la wolworth masaki
Poa mkuu
 
This was unnecessary mkuu ungemuelekeze kiroho safi tu
 
Wakuu nayapenda sana mashati anayovaa Rais Mtarajiwa Lowassa, na kila siku naona anavaa ya rangi tofauti tofauti. Kwa hapa dar naweza kuyapata wapi? Na bei yake inaweza kuwa shs ngapi?

huu ni umbeya
 
tahadhar nguo kumpendeza mtu inategemea na mwili wake so sio kila anachovaa mheshimiwa Rais na wewe kitakupendeza
 
Nnlijua ni mm tu nnae yapenda , zungukia maduka ya nguo kali za kisasa waweza bahatisha
 
Unataka hilo??
 
Attachments

  • 1441524466671.jpg
    1441524466671.jpg
    82.3 KB · Views: 1,007
Wakuu nayapenda sana mashati anayovaa Rais Mtarajiwa Lowassa, na kila siku naona anavaa ya rangi tofauti tofauti. Kwa hapa dar naweza kuyapata wapi? Na bei yake inaweza kuwa shs ngapi?

Nani hii...yake pia uanpenda tukuoneshe yalipo?
 
kwani yana nini,ruksi mgongoni?.....mbona naona ni kama mashati mengine?
 
Back
Top Bottom