PeterClavery
Member
- Dec 5, 2013
- 24
- 2
Bupumla jaribu kutumia lugha mbaya kujibu watu si bora Ukawa kimnya
Magufuli ameshoneshewa mashati ya vitenge hamjayapenda wadau?
kwani yana nini,ruksi mgongoni?.....mbona naona ni kama mashati mengine?
Mwambie akuazime
Mashati tu ndio umeyapenda vidonge je hujavipenda?
Salahsahim4@
Ivyo vidonge unavyovitaja mbona hata wewe unatumia?
this was unnecessary mkuu ungemuelekeze kiroho safi tu
bupumla jaribu kutumia lugha mbaya kujibu watu si bora ukawa kimnya
poa mkuu