Sare ni vazi au muonekano maalum katika kundi au taasisi maalum yenye mlengo mmoja!
Miongoni mwa masharti ya kuvaa sare ni:
Ikiwa na maana kwamba hata kama unafanya kazi kampuni ya kufanya ngono, ukiyafanya hayo hadharani ukiwa umevaa sare inatafrika ni kuichafua kampuni na adhabu itakuhusu!
Miongoni mwa masharti ya kuvaa sare ni:
- Unatakiwa kuvaa sare wakati tu unatekeleza majukumu husika na si vinginevyo
- Hutakiwi kupigana ukiwa umevaa sare
- Hutakiwi kugombea usafiri ukiwa umevaa sare
- Hutakiwi kujisaidia hadharani ukiwa umevaa sare
- Hutakiwi kufanya ishara zozote zenye mlengo wa kingono hadharani hata kama ni wanandoa.
Ikiwa na maana kwamba hata kama unafanya kazi kampuni ya kufanya ngono, ukiyafanya hayo hadharani ukiwa umevaa sare inatafrika ni kuichafua kampuni na adhabu itakuhusu!