Masharti ya kujiunga na chama cha mapinduzi (CCM)

Kamanda umeshawapima akili zao haya rudi kwenye ukombozi wa kweli chadema! Mana umemsikia msalani mwenyewe kashindwa kukujibu maswali yako anasema tu karibu,anadhani nawewe ni fara
 

Haina Haja Ya Kutafuta Kadi We Ishi Maisha Ya Ki Ccm Ccm Tu Utakuwa Tayari Mwana Ccm Wala Usihangaike
 
Nenda kwenye ofisi ya CCM ya kata pale ulipo au yoyote utapata.
 

umejenga hoja vizuri mkuu anatakiwa awe tayari kwa siasa za maji taka
 
uwe tayari kuwa mtumwa wa madaya ya kulevya ccm ni chama cha wahuni na washenzi wakubwa unauliza humu kwani umeambiwa kuna ofisi humu jf ya chama cha wahuni na washenzi wakubwa ccm..
 

Simple wewe kuwa fisadi mla rushwa automatically unakua mwanachama wa ccm
 
Ushauri wangu kwake ajiunge na ACT.. kwa umri wake anatakiwa aanzie na ccm b ambayo ni act.. Amuone bwana Kitila pale.. Baadae watampandisha daraja..
 
1.sehemu za kupata kadi ni nyingi unaweza mwona nnape au kinana 2.faida zake ukibahatika kupata uongozi hata ujumbe ujue umeula.lakini inatakiwa usiwe na hofu ya mungu.maana hulo ni ufisadi mtupu.
 
shidano za kujitoa ufahamu anazo. MSALANI lazima uchomwe kama zile za pepopunda
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…