Demokrasia, utawala bora na kuheshimu Haki za binadamu. CCM hawawezi kutimiza haya ndio maana husingizia masharti magumu.Marekani huzingatia nini na nini ili wakupe mkopo?

Umesahau homosexual...Demokrasia, utawala bora na kuheshimu Haki za binadamu. CCM hawawezi kutimiza haya ndio maana husingizia masharti magumu.
Hiyo yenyewe ipo hata kabla mzungu hajasema.Umesahau homosexual...