Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,615
mimi sioni ubaya wowote mtu kutelemsha suruali au kaptula,hizo ni fasheni na starehe ya mtu binafsi,wanaoshusha wanafurahi sana,mimi pia kuna kipind nilikuwa nashusha hivo lakin nikaona sio ujanja kufanya hivo ni ujinga tu,lakin siwez mzuia mtu akiteremsha hivo sababu ajavunja katiba ya nchi,hio ni starehe yake pamoja na furaha yake,tuwaache wateremshe wakikua wataacha wenyewe
Akikubali utampeleka wapi?nikikutana na sharo natongoza
nitakuwa na hii kama ushahidi!