Mashangingi ya CHADEMA!!

Mashangingi ya CHADEMA!!

ziko sheria nyingi mbaya na kandamizi amabazo lazima zitolewe na katiba mpya!

Natumai ntakua sijakosea kuwaita Wabunge wetu kuwa ni wanafiki wanapopiga perepete juu ya suala hili na wakati nao ni wanatunyonya na namna nyingine
 
Magari ya wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi wa kada mbalimbali za serikali huwa ni mikopo??????
 
Hapa bungeni wakina Lema wana madeni makubwa makubwa ya mikopo sijui watalipaje masikini...
 
Unajisahaulisha kwamba wabunge wote walipewa mkopo wa shilingi Milioni 90 na ofisi ya Bunge kwa ajili ya kununulia magari yao?

Umeshasema mkopo na siku zote mkopo unarudishwa (na mara nyingine kwa interest) kwa hiyo sio upotevu/ufujaji wa hela kama unaofanywa na viongozi wa Serikali ambao wananunua magari na hiyo hela haitakaa irudi kwa walipa kodi.
 
Ukiwa hujui kitu usiandike kitu, kinachoongelewa hapa na viongozi wa chadema ni magari ya serikali na si magari binafsi, kwani wewe hujui leo hii gari la serikali linatumia fedha za umma kuligharamia yaani kulinunua, mafuta, matengenezo pamoja na mahitaji mengine ya gari unayoyafahamu wewe na fedha za walalahoi wanaoshindia mlo mmoja kwa siku, au wewe umewahi kuona gali la kiongozi yeyote wa chadema linalohudumiwa kwa fedha za walalahoi au ndo haya watu wanayoyasema kuwa ukiwa pro ccm ni lazima kwanza uwe mental wa akili, nakibaliana na mtu mmoja hapa jf kuwa watu wenye akili ccm wapo likizo.
 
Tujadili hoja jamani........ni kweli chama kinatumia magari ya namna hiyo????hayo ya binafsi nayo si hoja cuz ni hela ya mtu binafsi!!!!!1
 
Tunapoteza muda kuongeleA MAGARI. Posho vipi? Imeishia wapi?
 
Akili yako mbovu,chadema iliadress yale yanayonunuliwa kwa kodi za watz.kuelewa kugumu sana ndgu yangu...kiazi
Du wewe ndio wale wanaitwa parrots,mmezoea ku cram, kukariri, not much thinking here as a contribution.
Leo Slaa akija na V8,LC200hata Kama ni a kwake, eyebrows zitakuwa raised.
Please tax yr brain.
 
Akili yako mbovu,chadema iliadress yale yanayonunuliwa kwa kodi za watz.kuelewa kugumu sana ndgu yangu...kiazi


kwa sasa chama kinapata ruzuku ambayo ni kodi ya watanzania,kinapaswa kuenenda kilivyohubiri
 
kabla ya kurukia mada fanya utafiti ujue kama cdm wana hayo mashingingi sio mtu kachoka ku-masaburi ana rusha uzi hapa na wewe unarukia bila kujua ukweli wake.choka kufanya kazi usichoke kufikiria.

sina la kusema naona usahidi umeuona kwenye photos mbalimbali,jifunze kufikiri sasa
 
Tunapoteza muda kuongeleA MAGARI. Posho vipi? Imeishia wapi?

posho matokeo ni yale yale,ni zitto tu ndio hachukui posho huko chadema,kiongozi wa upinzani bungeni ndio kiongozi wa kuchukua posho za kukaa kitako pale bungeni pia!
 
ni vyema kutenda kile unachokiamini na kukihubiri ili uwe mfano mbele za jamii
 
ushahidi si yale mashangi ya waheshmiwa wabunge waliopigwa kule mwanza ie haines na machemli.zipo taarifa kuwa walipigwa na wananchi waliokasirishwa kwa kuona yale mashangingi
 
Kuna mh mmoja kaleta hoja kuhusu magari yanayotumiwa na baadhi ya viongozi wa CDM. Naomba nimfahamishe kuwa namba
1. Si lazima magari haya yawe ya chama, Sugu ana gari kama hilo nadhani kama sikosei na Halima pia.
Kwa gari la Mbowe na Dr inawezekana ni ya chama.
2.Magari haya hususani la Dr nimeyaona kwa karibu, haya si magari yaliyokuja mapya, ni 2nd hand za Dubai, Japan au UK. Kutoka UK unazeza kufikisha hilo gari hapa baada ya kodi kwa TZS 50 to 60m.
3.Magari kama hayo hayo ya serikali (nazungumzia VX wala sio VX/GX V8 za sasa) tunayopigiwa kelele ya mwaka 2004 yalikuwa yanagharimu TZS 145M hapo ni kwa serikali. Serikali inanunua mapya.

Elewa kwanini tunapiga kelele, ya kina Dr ni kama 60m wakati ya Serikali mwaka 2004 yalikuwa 145m. Haya ma vx/gx v8 ya sasa ndio itakuwa balaa, nadhani itakuwa kwenye 200m!
 
Masaburi yanaposhika nafasi ya ubongo inakuwa shida sana wajameniiii....waiiii...!!!
 
Back
Top Bottom