OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
kwa kweli mimi ni mwanachadema damu lakini kuna mahali hata nyie wachangiaji wenzangu tuwe tunaongea ukweli,KUHUSU KUTUMIA MAGARI YA KIFAHARI VIONGOZI CHADEMA HIYO TABIA WANAYO,kwa wale wanaofuatilia siasa za ndani kumbukeni siku ujumbe wa chadema ulioenda ikulu kuwasiliana na rais,haraka haraka niliona vx kali sio tu vx ili ina ubora wa kipekee wa wale viongozi,VX aliyokuwa kapanda mbowe sio ya kitoto hata mil 80 sidhani kama utaweza kuipata ,pili wabunge wengi wa chadema wana magari ya kifahari ingawa kuna wachache sana wanayakawaida,ANGALIA GARI YA REGIA MTEMA ALIYOPATANAYO AJALI,mtoto ana miezi kadhaa bungeni anatembelea vx tena viti maalum ,wakati baba yake hapo tabata tunamjua,KWELI KWA HILI VIONGOZI WA CHADEMA BADILIKIE TUMIENI RAV 4 NI GARI NZURI ,NGUMU,INAENDA BARABARA ZOTE MIL 20 TU INATOSHA BADALA LA HAYO YA MIL 80
Chungu lakini ndo dawa.....mimi napata ugumu kulewa kwamba hayo yao ya binafsi tusijadili n so tuamini kwamba wakiwa madarakani wanaweza kusimamia yale ya jukwaani
Kizunguzungu cha siasa ni hatari kuliko kichefuchefu cha malaria