Mashangingi na matumizi mabaya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashangingi na matumizi mabaya!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Lole Gwakisa, Apr 29, 2012.

 1. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  DSC00737.JPG DSC00738.JPG

  Nilifika hapa shangingi hili (jipyaa LC200), niliambiwa lilikuwa linaelekea Mwanza kupitia Arusha.

  Jamaa alikuwa anapaa-literaly!

  Kwenye kona kali pale Manga, alipaa, hadi kukwanyua mti wa TANESCO, kabla ya kutua kwa pua.

  Hizo ni korosho zetu, kahawa zetu, pamba yetu na hata kodi zetu
   
 2. B

  BARRY JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 359
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  hiyo gari ni yani?, mbona jujaweka namba za gari? magari mangapi yanaanguka huko highway kila siku? hakuna jipya!
   
 3. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mkuu hilo gari ni STK*****, na kuangusha gari ya thamani ya Tshs millioni 300, mali ya umma, ukisema si jambo jipya mimi nitasema hiyo ni complacency at its worst.
   
 4. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2012
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Nadhani "Uendeshaji mbaya" ingekaa vema zaidi kuliko "matumizi mabaya".
   
 5. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Unahakika ni korosho na kahawa zenu, sio za misaada hizo gari?
   
 6. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,909
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  Nikifikiri uendeshaji mbaya ni sub set ya matumizi mabaya
   
 7. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2012
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Ni sawa - lakini hakuna ubaya kuwa specific mkuu masopakyindi.
   
 8. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,909
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  Tupo pamoja mkuu.
   
 9. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Madamex, niruhusu nikushangae kwa mawazo uliyotoa.
  Hivi? Mali usiyoigharimia basi unaweza kuifuja tu, mpaka anayekusaidia akome?
  Kimsingi hayo ni mawazo ambayo ni irresponsible.
  Hata waswahili walisema, meno ya mwenzio hata wali wa mchanga we unaswaga tu.
   
 10. BUBE

  BUBE JF-Expert Member

  #10
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hATA kama ni msaada au mkopo ujue lazima tuzilipie sisi,watoto wetu na wajukuu zetu. Hao unaodhani wanatupa msaada walishasema 'there is nofree lunch' tunalipia dada na hii ndo inauma zaidi endapo matumizi na uendeshaji unakuwa mbovu
   
 11. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,909
  Likes Received: 2,336
  Trophy Points: 280
  Chezea pesa ya mwenzio na bania pesa yaKo ila deni ni pale pale, sijui mjanja au mjinga nani?
   
 12. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  ...ignorant citizen. It's just another culture, commonly found in East Africa, mainly Tanzania
   
 13. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #13
  Apr 29, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,321
  Likes Received: 1,787
  Trophy Points: 280
  Kama devera amepona, ujue anarudi Dar mara moja kuchukua gari nyingine. Hii ndiyo Tanzania ambayo tuko busy sana kuijenga...Tanzania yenye watu wasiojua wanataka nini!!!!
   
 14. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Huo ni uongo Landcruiser GX V8 hata ya mwaka 2012 haijafika TZS million 300, uliipata wapi hiyo bei? Hata million 200 haijafika.

  Huoni ajabu chadema kuuziwa na mwenyekiti wao fuso mtumba kwa TZS million 350?
   
 15. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #15
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  http://picture1.goo-net.com/7000302062/20120303/J/70003020622012030300100.jpg
  Mkuu hiyo LC200 ya mwaka 2012 ni zaidi ya $109,000 f0b Japan,hapo hujalipia freight,duty na VAT.
  LC200 mashine ingine kabisa!
  Achana na wizi wa watu.
   
Loading...