mwanausangi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2021
- 548
- 608
Salaam wanajamvi,
Kutokana na mashambulio mfululizo ya magaidi nchi jirani ya Uganda kwa Museven, Tanzania tuna jambo la kujifunza kama nchi upande wa usalama, naishauri serikali kupitia vyombo vyake vyote vya ulinzi na usalama kuongeza intelijensia yao na kuhakikisha vitendo hvo havitokei nchini kwetu maana wote tunajua gaidi hana alama!!
MUNGU IBARIKI TANZANIA!MUNGU WABARIKI WANANCHI WAKE.