Hammy Js
JF-Expert Member
- Sep 20, 2017
- 3,053
- 3,271
We weka no hadharan tu soon utaanza pokea zile SMS za mjukuu wangu biashara zako zitakunyookea cjui nini na nini [emoji4] [emoji4]0754741162
We weka no hadharan tu soon utaanza pokea zile SMS za mjukuu wangu biashara zako zitakunyookea cjui nini na nini [emoji4] [emoji4]0754741162
Mihogo ya aina gan???un
unataka kulima Muhogo, unalo soko? ninao muhogo mie, natafuta soko.
poa0754741162
kipembaMihogo ya aina gan???
kipemba
Ina miezi 7-Ina miezi mingapi mpaka sasa...?
-Ipo heka ngapi...?
-Unauzaje kwa heka moja...?
-Ipo Mkuranga sehemu gani mkuu...?
Shukran.
Muulize Mkwere. Yeye ni mzoefu wa kilimo cha nanasi.Nanas inavunwa baada ya miez mingap tangu kupandwa?
Ina miezi 7
ipo heka 2
Bei nipatie offer yako
ipo mkuranga - BUPU
Karibu