Acha kukurupuka, weka details zote muhim, kama bei, ukubwa wake na ni mashamba ya mazao gani nkMashamba makubwa yanauzwa mkoani Morogoro katika wilaya ya Kilosa eneo la Msowelo,kwa mwenye kuhitaji naomba ani PM tafadhali
Acha kukurupuka, weka details zote muhim, kama bei, ukubwa wake na ni mashamba ya mazao gani nk
ekari moja inaenda kwa shilingi ngapi?
Mkuu hilo eneo ni hatarishi, mapignao kati ya wakulima na wafugaji kila wakati, vipi wameshalithibiti jambo hilo maana tusije tukaingia katika danger zone.
Santee!kuna aina tatu za mashamba mkuu yapo ambayo ni ya umuagiliaji mwaka mzima(yaliyo karibu na mto) haya ni 550,000/ kwa heka yapo ambayo si ya umuagiliaji ya kilimo cha kawaida haya yana range 370,000/ mpaka 430,000/ kwa heka
Umbali from main road?Mashamba makubwa yanauzwa mkoani Morogoro katika wilaya ya Kilosa eneo la Msowelo,kwa mwenye kuhitaji naomba ani PM tafadhali
Umbali from main road?
Ni kati ya 5 to 14 km
Mkuu nadhani wewe unazungumzia Dumila na si Msowelo au Mvumi!wilaya ya kilosa ni kubwa sana mkuu
Kama sikosei, Msowelo ipo katika ya Dumila na Kimamba, kumbe ni lazima maeneo hayo hayo ambayo kila mara kuna mapigano kati ya wafugaji na wakulima, niliwahi kukaa kijiji cha MAJAH nadhani unakumbuka, tulikuwa na shamba huko.
Kwa nini?!Nahisi huyu jamaa alishatangulia mbeleni za haki.
Mkuu huyu jamaa yuko na threats majina sana. Pitia threats zakeKwa nini?!
Na wewe unafukua thread ya mwaka 2013 unatumia nini kufikiria?!