Iyokopokomayoko
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 1,785
- 441
Ngoja nizichange ntakutafuta mkuu.
Panafaa kuweka mifugo?kuku,bata,ng'ombe,mbuzi?
Kama ninahitaji ekari 5-10 hivi nitapata? au lazima ninunue hizo 100?
Ahsante, yapo Bagamoyo maeneo gani?Unaweza Mkuu siyo lazima zifikie 100.
Udongo wake ni wa aina gani? Je, inafaa kwa kilimo cha matikiti?
Nitajie tafadhali maeneo amabapo mashamba hayo yapo. Kitongoji, Kijiji, Kata, Wilaya etc.Asante sana.
Kilometa ngapi kutoka bagamoyo town?
Asante ila tunaomba tutajie vijiji ni wapi hasa Kidomole? Zongomole? Mwavi? Mkenge? miembe mitatu au walau sema upande gani wa barabara iendayo Msata. Pia naomba kuuliza usajili wake ukoje ninaweza kwenda tafutia hati manispaa ya Bagamoyo kama shamba au? Maana hati za serikali za mitaa hamkawii kuuzia mwingine kuna migogoro sana huku Bagamoyo.