Huko kuna matapeli balaa ... Migogoro ya ardhi huko ni order of the day! Kuweni makini sana!
mmiliki wa sasa ni nani?
Mkuu, heshima yako kwanza. Nipo nalishughurikia suala lako, je ungehitaji na picha kabisa?, na wewe mwenyewe nikuwekee ekari ngapi?.
Picha nimeziona ila wasiwasi wangu wakaazi wa huko wengine si waaminifu (simaanishi wewe).
asante tutakuja kuona hayo mashamba ila uko bagamoyo kuna mgogoro wa ardhi sasa itakuwaje bestito?