Iyokopokomayoko
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 1,785
- 441
- EKARI 500
- EKARI 300
- EKARI 200
- EKARI 100
Mashamba haya yanapatikana kiwangwa bagamoyo mkoa wa pwani.
NB: Kwa Ekari moja inauzwa kwa sh 500,000/= (laki 5).
Kwa maelezo na mawasiliano zaidi piga 0769142586
Maelezo kwa Picha:
1. Hii ni barabara kuu ya lami kutoka bagamoyo kuunganisha msata, itakufikisha katika kijiji cha Kiwangwa yalipo haya mashamba. Ukifika kiwangwa, mbele kidogo kushoto unaingia katika barabara ndogo inayoonekana katika picha kama imeanza kuwekwa lami, barabara hii ndogo ndiyo inayoingia katika haya mashamba na itawekwa lami yote kwakuwa mbele yake mwishoni karibu na mashamba haya kutajengwa kiwanda kikubwa cha cement kuliko vyote vilivyopo sasa. Kwa hiyo utapita kwa kutumia barabara ya lami kutoka dar es salaam hadi shambani kwako!.
2. Hii ni sehemu ya shamba la ukubwa wa ekari 550, nadhani unahitaji wiki 1 kumaliza kulizunguka lote.
3. Kama unavyoona upande wa kulia kuna shamba tayari limelimwa mahindi. Ardhi ya eneo hili unaweza kulima karibu kila zao, sehemu kubwa ya shamba hili haijawahi kulimwa tangu siku ya kwanza!, kwa hiyo ardhi haijasumbuliwa.
Kuna baadhi ya wengine wanayanunua mashamba haya, wanazungusha fensi; kwa kutumia hati zake wanachukuwa mikopo bank.
Haya wenye mitaji kazi ni kwenu.
Kwa maelezo mengine zaidi, muda wowote piga au text 0769142586.