Super women 2 JF-Expert Member Nov 16, 2016 5,164 6,535 Apr 15, 2017 #2 py thon said: [/QUOT] Mpaka makeup MUNGU anamwonaa. Sio kwa kumnanga huko Click to expand...
kajembejr JF-Expert Member Jul 31, 2015 1,289 1,316 Apr 15, 2017 #8 Bibi harusi mikononi kavaa gloves nyeusi au?
Perpendicular JF-Expert Member Jul 5, 2015 1,494 1,181 Apr 15, 2017 #9 Mpiga picha naona ame edit ndivyo sivyo.
Thad JF-Expert Member Mar 14, 2017 13,367 31,532 Apr 15, 2017 #11 Nashukuru Mungu make-up zilinipita kushoto lol
butron JF-Expert Member Jun 3, 2013 5,627 7,909 Apr 15, 2017 #12 Halo huyu Dada ni MTU hai au Yale masanamu ya madukani Kariakoo?khaa!
T thatsit JF-Expert Member Mar 12, 2017 1,870 2,915 Apr 15, 2017 #13 Km mm ndo bwana haruc namkataaa, Noooo!! Sie huyu ninaemjua mm
Yudasti JF-Expert Member Jan 22, 2017 947 1,353 Apr 15, 2017 #14 Aliyeunganisha Mungu... Binadamu na asitenganishe..
kipozi JF-Expert Member Jan 23, 2015 1,315 1,701 Apr 15, 2017 #15 Iv picha kama iz znakuaga za ukweli au edit
Mbao za Mawe JF-Expert Member May 11, 2015 23,372 54,909 Apr 15, 2017 #16 Ndio maana sipendi harusi......huyo mwanamke kawa kama joker
H Hardman JF-Expert Member Jan 4, 2011 741 506 Apr 15, 2017 #17 what God has put togethe, let no man put it assunder
Totos Boss JF-Expert Member Dec 30, 2012 5,456 1,565 Apr 15, 2017 #18 Ningeona miguu ya biharusi!! Uso mweupe, nikono mweusi miguu.......?
Bushrah JF-Expert Member May 9, 2014 413 791 Apr 17, 2017 #20 Bibi harus naona hata na yy alijisahau sio kwa weupe huo,maana anajijua yy ni mweus.Au hyo mikono alivaa gloves nyeusi.hahahaaa
Bibi harus naona hata na yy alijisahau sio kwa weupe huo,maana anajijua yy ni mweus.Au hyo mikono alivaa gloves nyeusi.hahahaaa