Chipukizi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 4,652
- 7,141
Kwenye Majeshi kuna kitu kinaitwa WAR ECONOMY hii kitu inafundishwa kabisa kwenye shule za kijeshi...Kabla ya Vita yeyote Jeshi husika hukaa chini na kuangalia kwanini tupigane vita hii,nini garama yake,muda gani utatumika mpaka vita ishe,nnaitaji askari wangapi,nini garama za siraha n.k Israel ambao wapo juu katika maswala ya kiteknologia awawezi kuwa mandezi kama unavyosema wewe! Iron Dome inatungua kombora moja kwa kombora moja no kukosea..Kinachowaelemea Waisrael ni kuwa Wapalestina wanarusha kombora nyingi kwa wakati mmoja hivyo system ya iron dome kuelemewa ila watapata tu ufumbuzi .....War Economy .... A war economy or wartime economy is the set of contingencies undertaken by a modern state to mobilize its economy for war production. Philippe Le Billon describes a war economy as a "system of producing, mobilizing and allocating resources to sustain the violenceKiukweli leo nilikuwa nafatilia mtifuano ama mapigano yanayoendelea kati ISEAEL NA PALESTINA hasa nikifatilia uwezo halisi wa hii defence system ya Israel.
Nimeshangaa baada ya kujua kwamba kumbe ile system ili itungue kombora moja lililotoka kwa Hamas inatakiwa kurusha makombora atleats kumi ndo inapata target na kulioua kombora moja la HAMAS.
Sasa kwa staili hii naona hili naona kabisa hii system sio effiency kabisa na inawagharimu mno Waisrael.
Kwa sababu kwa data zilizopo ni kwamba HAMAS wanatengeneza kombora lao moja kwa gharama ya Tsh ml 1.3 wakati Israel wanatengeneza kombora lao moja kwa gharama ya Tzsh ml 80.
Kwa gharama izo kombora moja la HAMAS lenye thamani ya tz sh 1.3 linaigharimu ISRAEL Tzsh ml 800 je kwa staili hii ni nani anapata hasara zaidi
Mi naona hii air defence system IRON DOME ya ISRAEL siyo effience na uwezo wake ni mdogo sana yaani kifupi vita hii inaigharimu zaidi israel kuliko Palestina.
Hii IRON DOME bado siyo system tegemezi na bora kwa maana siku isreal akipiga a vita na nchi nyingine yenye silaha za kisasa kabisa ama yenye rocket launcher system kubwa itashindwa kuzuia makombora ama izo missle zitakazorushwa maa haya makombora ya HAMAS yanayorushwa ni local madw sasa vil ka.a wakiwa na sophiscated rocket launcher means iron dome haiwezi kuzuia so mi Naona iron dome siyo system bora saana