hebu pata elimu hapo kwanza,,
umekunywa alkasusu huko unaanza kuongelea efficiency,for real
No izo data zilizopo kama wewe unazo nyingine yofauti na izi sawa zimwage hapa
Acha uvivu pia usipende jitutumua kwa vitu usivyovijua? Si ugoogle six day war u uoneWe jamaa ni muongo sijapata kuona hiyo taarifa umeokota wapi?
hebu pata elimu hapo kwanza,,
umekunywa alkasusu huko unaanza kuongelea efficiency,for real
Nenda google ukasome mwenyeweWe jamaa ni muongo sijapata kuona hiyo taarifa umeokota wapi?
hebu pata elimu hapo kwanza,,
umekunywa alkasusu huko unaanza kuongelea efficiency,for real
Utani tu mkurugenzi. Unechunhulia Yangu?Sawa weeeeeeeeee niuwe tu kwa mawe
Urusi hawezi pigana na Israel sababu wana UrafikiSasa hivi hamas anasaidiwa na iran na lebanon , wakati myahudi yuko pekeyake, ila ukiona russia anakuja ujue mmarekan hachukui round kusaidia israel , nasema hivi hawa palestine wapigweee mpaka wachakae wamezidi kujitoa muhanga
Mkuu tosha bhana! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Ukitaka kujua Aina ya mtoa mada we chungulia avatar
Na hapo asisahau wanayaunda wenyewe kwenye makampuni yao ndani ya nchi. Na bado yanaundwa kila kukicha. Je Hamas wanafanya hivyo sahi, au ni kutumia tu? 😂Kombora moja la iron dome no dola elf 50, hata ikija tokea yakitumika makombora haya elf 10 sawa na dola milioni 5 (Trilioni 1.x pesa ya dafu), Hii bado ni pesa ya karanga kwa Israel ukilinganisha na maisha ya wana israel.
Uliangalia wapi ndo ukaona hivyo? Ingia hata YouTube mkuu.Kiukweli leo nilikuwa nafatilia mtifuano ama mapigano yanayoendelea kati ISEAEL NA PALESTINA hasa nikifatilia uwezo halisi wa hii defence system ya Israel.
Nimeshangaa baada ya kujua kwamba kumbe ile system ili itungue kombora moja lililotoka kwa Hamas inatakiwa kurusha makombora atleats kumi ndo inapata target na kulioua kombora moja la HAMAS.
Sasa kwa staili hii naona hili naona kabisa hii system sio effiency kabisa na inawagharimu mno Waisrael.
Kwa sababu kwa data zilizopo ni kwamba HAMAS wanatengeneza kombora lao moja kwa gharama ya Tsh ml 1.3 wakati Israel wanatengeneza kombora lao moja kwa gharama ya Tzsh ml 80.
Kwa gharama izo kombora moja la HAMAS lenye thamani ya tz sh 1.3 linaigharimu ISRAEL Tzsh ml 800 je kwa staili hii ni nani anapata hasara zaidi
Mi naona hii air defence system IRON DOME ya ISRAEL siyo effience na uwezo wake ni mdogo sana yaani kifupi vita hii inaigharimu zaidi israel kuliko Palestina.
Hii IRON DOME bado siyo system tegemezi na bora kwa maana siku isreal akipiga a vita na nchi nyingine yenye silaha za kisasa kabisa ama yenye rocket launcher system kubwa itashindwa kuzuia makombora ama izo missle zitakazorushwa maa haya makombora ya HAMAS yanayorushwa ni local madw sasa vil ka.a wakiwa na sophiscated rocket launcher means iron dome haiwezi kuzuia so mi Naona iron dome siyo system bora saana
Hamas ni wanamgambo wanaojificha kwenye mahandaki. Vita vya siku sita ni baina ya nchi ambapo Military capabilities zao ndizo ziliharibiwa kwa wingi kufanya wao kutokuwa effective kwa Israel. Sasa hapo Palestina, hawezi fanya hivyo, Hamas hawana tanks, hawana Jets, hawana attacks ships nk ni migambo tu wale wanaofadhiliwa, hamna kitu chao cha muhimu ju chenye kuwafanya Israel kukishambulia na kutia hasara.vita ya siku 6 wakat hamas wana week yapili sasa
kweli wajinga ndio waliwao mnatungiwa story munaziamini
hizo siku sita kwa nn asingezifanya akazitumia dhidi ya HAMAS na GHAZA yao
Uwongo,Chai tupu hii. Mmarekani na Muingereza yuko wapi hapo? 😂 😂 😂Israel hawez kusimama mwenyewe apo yupo marekani na mwingereza israel hana uwezo wowote na hiyo nchi ni kivuli tuu ila ni marekani iliy o middle east,
Kweli, kitu kikitumika ndipo hujulikana effectiveness yake. Hakuna chenye kiko 100%Hakuna Vita isiyo na gharama! Israel inawa cost gharama kwa sababu inatumia vifaa vilivyotengenezwa kwa Advanced Tech wakati Wapalestina vita vinawagharimu Vifo na uharibifu wa majengo na miundombinu.
Kuhusiana na Defence system hakuna Defensive System yo yote duniani ambayo ni 100% efficiently! Hata hii ya Russia S-400 ambayo ndiyo kwa sasa ni tishio ina mapungufu yake.
Hizi data si zinatolewa na vyombo vya magharibi ama taarifa zako zingekuwa na uhalali ikiwa ingekuwa imetolewa na pande zote mbili yaani HAMAS na ISRAEL lakini hii ya kutolewa tu na ISRAEL alafu ndo uniambie mimi niziamini apana asee labda uwawekee wengineNdani ya wiki 1 90% ya rocket zimekua intercepted View attachment 1790272