Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
Sasa Hamas atatoa vipi data ka hizo, kwani Israel ni kwao? 😂Hizi data si zinatolewa na vyombo vya magharibi ama taarifa zako zingekuwa na uhalali ikiwa ingekuwa imetolewa na pande zote mbili yaani HAMAS na ISRAEL lakini hii ya kutolewa tu na ISRAEL alafu ndo uniambie mimi niziamini apana asee labda uwawekee wengine