funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,565
- 21,046
Huu wimbo una mashairi safi sana- I dedicate it to all JF Ladies
Chorus
Cheusi Mangala usibadili mwendo huo Mangala eehe Mangala eehe Binti Afrika
Verse
Kila kwenye chombo baharini kuna nahodha, nahodha wangu ni wewe mawimbi kuyakata chombo kisiende mrama tupate fika salama
Rudia chorus
Verse
Ninajisikia ninaposikia heshima na upole wako kwa watu wa pembeni usije kata tamaa tukose wakututetea
Kama kuna mtu anakumbuka mistari ya huu wimbo aendelee ila mashairi yake yametulia sana