Mashairi- Wimbo:Cheusi Mangala

intro
Hivi mama fatu nilivyokuonaa..
sikuamini macho yangu...
ilikuwa kama niko ndotonii
mamaa faatu shoga yangu.... x 2

ama kwelii hujafa hujaumbika
naamini ya walimwenguu
hivi umbo lako lilivyobadilikaa
ni maasikitiko kwanguu

hebuu nielezeee,
umepatwaa masahibu ganii? ... x 2

bridge
ohooo ohoo ukewenzaaa,
ukewenza kweli una mamboooo
ama kweli nimeona vituko,
unitizame nilivyokoonda
sababuu ya ukewenzaa

ukewenza mamaaa......
... bora usikie hivyo hivyo

chorus
Ukewenza kweli hatari we mama
akina baba wanatuletea janga
fahari yao kwetu sisi matatizoo
ooo ooo matatizoo ...... (
endelea kuchat ghani zake)...

Mnakumbuka wimbo huu kaimba nani?
 
Sikilizeni furaha yangu, Mungu ni pendo anipenda..
1.Akaja Yesu kunikomboa , yeye kanipa kuwa huru
......sikilizeni.....
2.Sababu hiyo, namtumikia, namsifu yeye siku zote
...sikilizeni

nilipotea katika dhambi, nikawa mtumwa wa shetani
akaja yesuu kunikomboa, yeye kanipa kuwa huru
 
oooo naamini ..methali za wahenga dunia hii vyote vinagawanyika
gari na shamba vyote vinaganyika aaah aaaah sio
penzi jamani utafanya kila njia pande moja litazidi

Ooh mme wangu ulinitaka radhi
wataka oa mke mwingine wa pili uwezo huo wa kututunza unao aaah
haaa matokeo ya penzi umezidi elemea kwa mke mwenzangu eeh

Jamani Sikonge, BAK , Balatanda wako wapi mambo yao haya
 
hha na juzi umesema ni mhudhuriaji mzuri wa church, ucpotokea kutatokea hitlafu kwenye misa, sasa kumbe ni mapambo tu...lol, ukitoka hapo ukiulizwa injili ilisemaje unakodoa macho huna ujualo....c uwe unachapa ucngizi tu!
usingizi itakuwa noma yaani sijui ni mapepo gani yananisumbua nikiingia tu church hazipiti dk 5 naanza kusinzia halafu Padre akisema "nendeni kwa amani" pale mwisho wa ibada usingizi unakatika ghafla nakuwa active sijui ni nini hiki
 
Nakupenda sanaaa kweli, si kwa uzuri tu ulionao, hata tabis zako kwa kweli ni za kuridhisha,
Hadija aa Ewe Hadija, wa moyo, asante sana nasema kwa tabia zakooo!

Chorus:
Tabia zako mama ni za kuridhisha, nikikukosa nitampata wapi mwingine,
Nakuomba mama kaa utuliex2
 
oooo naamini ..methali za wahenga dunia hii vyote vinagawanyika
gari na shamba vyote vinaganyika aaah aaaah sio
penzi jamani utafanya kila njia pande moja litazidi

Ooh mme wangu ulinitaka radhi
wataka oa mke mwingine wa pili uwezo huo wa kututunza unao aaah
haaa matokeo ya penzi umezidi elemea kwa mke mwenzangu eeh

Jamani Sikonge, BAK , Balatanda wako wapi mambo yao haya
dear kumbe na wewe wa-long
 
Nakupenda sanaaa kweli, si kwa uzuri tu ulionao, hata tabis zako kwa kweli ni za kuridhisha,
Hadija aa Ewe Hadija, wa moyo, asante sana nasema kwa tabia zakooo!

Chorus:
Tabia zako mama ni za kuridhisha, nikikukosa nitampata wapi mwingine,
Nakuomba mama kaa utuliex2
watu wa zamani walikuwa wanajua kubembeleza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom