Feedback
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 7,988
- 4,507
mghafilika ingependeza sana ile post aliyoi edit dudus ukaiweka kwenye post yako ya kwanza ili watu wajadili na waone jinsi kodi inavyotumika kwa watu kuipotezea muda mahakama.Mkuu ni sawa kabisa nisinge paswa kuku zui kuweka sawa kwani mimi nilifupisha kwani kunamahali nilikuwa na wahi asante mkuu kwakuweka sawa