Mashaidi wa kesi ya kupinga ubunge wa mh Lema wakimbia

Mkuu ni sawa kabisa nisinge paswa kuku zui kuweka sawa kwani mimi nilifupisha kwani kunamahali nilikuwa na wahi asante mkuu kwakuweka sawa
mghafilika ingependeza sana ile post aliyoi edit dudus ukaiweka kwenye post yako ya kwanza ili watu wajadili na waone jinsi kodi inavyotumika kwa watu kuipotezea muda mahakama.
 
Najaribu kutafakari siku hakimu atakapopiga kile kifimbo chini na kusema mshakiwa huna kesi na kesi imefutwa kutokana na kesi hii inaonekana ni kama kesi ya kusingiziwa! Sijui pale mahakamani patakuaje?

Mi nafikiri patakuwa patamu sana!
 
Hv kwa wale wenye ujuzi na sheria kidogo,hakuna kipengele kinachowezesha jamaha kupata kifungo iwapo itathibitika wametoa ushahidi wa uongo?

Mkuu sheria iko wazi, ikigundulika mtu kasema uongo anasweka lupango saa hiyo hiyo, ila extent ya kifungo itategemeana na uzito wa uongo wake. Tatizo lililopo hapa kwetu hususan Arusha ni kwamba hakimu/jaji kutoa decision mpaka a determine mkosaji ana kadi ya chama gani.
 
Mkuu mgafilika; niruhusu ni-edit post yako hapo juu:

Shahidi wajana dhidi ya wakili wa Lema Kimomogoro yalikuwa kama ifuatavyo:

Wakili: Umesema maneno gani yamekuuma Lema aliyatamka?

Shahidi: Swala la kuolewa zanzibar liliniuma sana

Wakili: Umesema ilikuuma wewe hukutaka aolewe zanzibar? Haikukupendeza?

Shahidi: Mimi ilinipendeza ila Lema haikumpendeza kabisa

Wakili: Nani alikujulisha Lema haikumpendeza Batilda kuolewa zanzibar uliyatoa wapi?

Shahidi: kutokana na swali lako ndiyo maana nikakujibu hivyo.

Baada ya mahojiano ya Kimomomgoro kumalizika alifuata wakili wa serekali Masanja kumuhoji shahidi kama ifuatavyo:

Wakili: Umezaliwa wapi?

Shahidi: Karangai kata ya kibwe tarafa ya mbuguni wilaya ya Arumeru

Wakili: Leo wewe ni mkazi wa wapi hapa Arusha mjini?

Shahidi: mkazi wa sokoni 1 mtaa wa makao mapya

Wakili: Kwa hiyo wewe sio mkazi wa karangai siyo?

Shahidi: Ndiyo

Wakili: Nini kilisababisha usiwe mkazi wa karangai na sasa uwe mkazi wa sokoni 1

Shahidi: Nimeolewa

Wakili: Kwa hiyo kilichosababisha usiwe mkazi wa karangai na uwe leo mkazi wa asokoni 1 ni kuolewa siyo?

Shahidi: Ndiyo

Wakili: Unamfahamu Dk Batilda?

Shahidi: Ndio ninamfahamu kwa kumwona kwenye picha

Jaji: Hujamuona ana kwa ana kwa macho tangu uzaliwe?

Shahidi: Sijawahi kumuona

Wakili: Pia unafahamu kwamba amoelewa?

Shahidi: Nasikia tu ameolewa

Wakili: Mume wake unamfahamu?

Shahidi: Simfahamu

Wakili: Unafahamu kwamba mume wake anaishi Zanzibar?

Shahidi: Sifahamu ila nimesikia kwamba anaishi Zanzibari

Wakili: Ulipoolewa toka karangai ukahamia sokoni 1, Batilda alipoolewa akahamia kwa mume wake Zanzibar ni kosa?

Shahidi: Sio kosa

Wakili: Hivi kuolewa katika jamii ni sifa mbaya au nzuri?

Shahidi: Ni sifa nzuri

Wakili: Kwa hiyo mtu akisema Amina Ally ameolewa sokoni 1 atakuwa amekupo sifa mbaya au nzuri?

Shahidi: Ni sifa nzuri

Wakili: Kwa hiyo mtu akisema Batilda ameolewa Zanzibar atakuwa amesema vibaya?

Shahidi: Atakuwa amesema vizuri

Jamani kwa mwenye uelewa wa sheria, hivi role ya wakili wa serikali kwenye kesi kama hii (za uchaguzi) huwa ni nini? Kidogo hoja zake zimeniacha kwenye dilema.

Wakuu dudus, mgafilika + wadau wa Arusha,

Nasikia hii kesi inaendelea kuungurumishwa ndani ya A'town uko, em kwa yeyote mwenye updates tunaomba atuwekee mwendelezo wa hili drama la hao mashahidi hapa jukwaani ...
 
Wakuu ile kesi ya kupinga ubunge wa mh Lema mashaidi waendelea kukimbia na mawakili wa upande wa washitaki yani akina musa nkangaa wameomba kubadilisha hati ya mashitakaya kesi hiyo ndipo wakili wa mh Lema akakata akasema haiwezekani kwani kesi hiyo tayari imekwisha kusikilizwa na jaji akasema kesho ndiyo atatoa hukumu hiyo
 
hao mashahidi kama walikula kiapo watafutwe wayiwe ndani wasituchee kupotezeana watu muda

Kiukweli wanampotezea Lema muda na mahakama kusikiliza kesi zingine zenye maana ngoja tuone kesho ukumu yao kuhusu hiyo hati yao ya mashitaka itakuwa je maana kesi za kutunga inakazi sana
 
Ikigundulika walitoa ushahidi wa uongo sheria ichukue mkondo wake
 
Hao mashaidi wa kichina inatakiwa wapigwe kama mwaka behind bars..liwe funzo kwa wengine

Mkuu mwaka haitoshi ningekuwa mimi ndiye jaji kwanza kwa kunisumbua mimi kama jaji na wapiga mwaka moja kwa kuisumbua mahakama mwaka tena kwa kumsumbua mbunge ashindwe kufanya kazi zake za kibunge miaka miwili kwa kufungua kesi ya uongo na kushindwa kutetea mwaka mmoja jumla miaka 5
 
Mkuu mgafilika; niruhusu ni-edit post yako hapo juu:

Shahidi wajana dhidi ya wakili wa Lema Kimomogoro yalikuwa kama ifuatavyo:

Wakili: Umesema maneno gani yamekuuma Lema aliyatamka?

Shahidi: Swala la kuolewa zanzibar liliniuma sana

Wakili: Umesema ilikuuma wewe hukutaka aolewe zanzibar? Haikukupendeza?

Shahidi: Mimi ilinipendeza ila Lema haikumpendeza kabisa

Wakili: Nani alikujulisha Lema haikumpendeza Batilda kuolewa zanzibar uliyatoa wapi?

Shahidi: kutokana na swali lako ndiyo maana nikakujibu hivyo.

Baada ya mahojiano ya Kimomomgoro kumalizika alifuata wakili wa serekali Masanja kumuhoji shahidi kama ifuatavyo:

Wakili: Umezaliwa wapi?

Shahidi: Karangai kata ya kibwe tarafa ya mbuguni wilaya ya Arumeru

Wakili: Leo wewe ni mkazi wa wapi hapa Arusha mjini?

Shahidi: mkazi wa sokoni 1 mtaa wa makao mapya

Wakili: Kwa hiyo wewe sio mkazi wa karangai siyo?

Shahidi: Ndiyo

Wakili: Nini kilisababisha usiwe mkazi wa karangai na sasa uwe mkazi wa sokoni 1

Shahidi: Nimeolewa

Wakili: Kwa hiyo kilichosababisha usiwe mkazi wa karangai na uwe leo mkazi wa asokoni 1 ni kuolewa siyo?

Shahidi: Ndiyo

Wakili: Unamfahamu Dk Batilda?

Shahidi: Ndio ninamfahamu kwa kumwona kwenye picha

Jaji: Hujamuona ana kwa ana kwa macho tangu uzaliwe?

Shahidi: Sijawahi kumuona

Wakili: Pia unafahamu kwamba amoelewa?

Shahidi: Nasikia tu ameolewa

Wakili: Mume wake unamfahamu?

Shahidi: Simfahamu

Wakili: Unafahamu kwamba mume wake anaishi Zanzibar?

Shahidi: Sifahamu ila nimesikia kwamba anaishi Zanzibari

Wakili: Ulipoolewa toka karangai ukahamia sokoni 1, Batilda alipoolewa akahamia kwa mume wake Zanzibar ni kosa?

Shahidi: Sio kosa

Wakili: Hivi kuolewa katika jamii ni sifa mbaya au nzuri?

Shahidi: Ni sifa nzuri

Wakili: Kwa hiyo mtu akisema Amina Ally ameolewa sokoni 1 atakuwa amekupo sifa mbaya au nzuri?

Shahidi: Ni sifa nzuri

Wakili: Kwa hiyo mtu akisema Batilda ameolewa Zanzibar atakuwa amesema vibaya?

Shahidi: Atakuwa amesema vizuri

Jamani kwa mwenye uelewa wa sheria, hivi role ya wakili wa serikali kwenye kesi kama hii (za uchaguzi) huwa ni nini? Kidogo hoja zake zimeniacha kwenye dilema.

Mkuu, katika kesi kama hii serikali naye ni mshitakiwa kama Mhe. Lema alivyo. Hivyo ni sahihi anavyomhoji shahidi wa upande wa mashitaka.
 
Wakuu ile kesi ya kupinga ubunge wa mh Lema mashaidi waendelea kukimbia na mawakili wa upande wa washitaki yani akina musa nkangaa wameomba kubadilisha hati ya mashitakaya kesi hiyo ndipo wakili wa mh Lema akakata akasema haiwezekani kwani kesi hiyo tayari imekwisha kusikilizwa na jaji akasema kesho ndiyo atatoa hukumu hiyo

Pamoja Mkubwa, hapa jamvini twakutegemea sana kwa Updates za yatakayojiri hapo kesho. Sasa ndo naanza pata mwanga ni kwanini jaji ndo aliyekuwa wa kwanza kuikacha hii kesi !!
 
Pamoja Mkubwa, hapa jamvini twakutegemea sana kwa Updates za yatakayojiri hapo kesho. Sasa ndo naanza pata mwanga ni kwanini jaji ndo aliyekuwa wa kwanza kuikacha hii kesi !!

Mkuu usijali hukumu hiyo ina somwa mida ya saa 7 mchana nikienda nitawajuza yanayo jiri
 
Nikatika hali ya kushangaza toka jana baada ya kesi kuhairishwa hadi leo ndipo mashaidi walipoanza kurushiana maneno na hatimaye kupelekea mashaidi leo kutouzuria mahakamani mchana wa leo ndipo wakili waupande wao kuomba kesho atawaleta mambo yamekuwa magumu kwao kwa kutoa ushaidi wa uongo wanaanza kukimbiana wenyewe

Mgafilika,Thanks for the vital info.

From the very beginning this was just a framed case by CCM against His Excellency Godbless Lema!!!Hakuna kesi hapa baali ni kutapatapa kwa CCM na vikaragosi vyake kutaka kumng'oa Lema kwa kesi ya kugushi. Tayari wameshaanza kuona maji yanazidi unga! Wote watakimbia na itakuwa AIBU tupu kwa Wanamagamba.

Lakini hata kama watafanikiwa kufanikisha kesi yao bandia bado Uchaguzi ukirudiwa leo hii bado Lema ataibuka kidedea.Hii kesi sana sana inazidi kupotezea watu muda na mapato kwa sababu za kipumbaf!!!
 
ngoja wale pesa za mamvi bure hamna kesi hapo , mamvi hatakoma kuaribu hela, sasa hawa waganga njaa hata anashindwa kuwaeleza chakuongea
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom