Je ni kweli kuwa utajiri unapatikana Kwa kujitoa muhanga sehemu zisizopitika?

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,842
Wajuzi wa haya mambo nawakaribisha, walimu kaeni pembeni hapa nataka wenye akili zinazowaka Moto wenye mawazo constructive tuu. Kuna huu msemo no success without sacrifice Je unaleta taswira ipi Kwa sisi wapambanaji

Nimekuwa nikiona watu wengi matajiri wakubwa kwenye mahojiano na vyombo vya Habari wamekuwa wakimotivate watu kirahisi sana kuhusu utajiri ila nyuma ya pazia mambo ni tofauti huwez kulima mchicha baada ya miaka mitano ununue mabus kumi.

Moja ya kitu nilichojifunza utajiri unataka wenye Roho ngumu kama sisi akina Mpwayungu Village bila hivyo hutoboi, kaangalie movie ya black diamond utakuja kuniamini haya maneno yangu. Wengi waliofanikiwa waliweka roho zao mkononi zikawa zinadundadunda tu mda wowote roho inaacha mwili but after success now wanainjoy sweet dark chocolate

Safari ya maisha inataka kujitoa muhanga ukianza kusikiliza washauri na motivation speaker hutoboi, anaesema anza na kuuza vitumbua mitaani hata KFC alianza hivyo huyo ni muongo mkubwa!

N. B. no risk no return
images%20(13)%20(17).jpg
 
Toa neno bahati, ni maneno mnayolishwa na wachungaji matapeli huko mnaleta great thinkers, mtafutaji hachoki akichoka amepata
Bahati inatengenezewa mazingira mbaka kuwa bahati kama vile hard working, uwezi Pata bahati wakati umedevela. Mfano unaeza lima mchicha mwaka huu ukakutana na bei nzuri sokoni tofauti na ya miaka iliyopita ukatoboa
 
Ili uwe tajiri lazima uwe na spirit za kimafia Sana kama ni biashara unafanya hakikisha mzigo unaoingia store au godown yako haujulikani kirahis, kwepa Kodi kadri uwezavyo hakikisha TRA unao manyau pale unayaweka kwenye payroll unafanya figisu kama mzigo umenunuliwa kwa 50M risiti andika 18.56M, nunua risiti zilizotumika mda mfupi uliopita tumia kusafirishia mizigo!
 
Ipo hivyo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom