Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,110
- 2,517
Ni kawaida ya hao jamaa wana miiko sana.Wangefungwa wangefanya huo usafi?
Wangefungwa wangefanya huo usafi?
umetuvuruga sana sisi wasabato, walokole na wafia dini hapo ulipotaja manabii wetu.Hao jamaa ndio wanaongoza kwa ustaarabu na tabia nzuri duniani.
Na hapo hawamjui Yesu wala Allah wa Mtume muhammad
Umenena vyema wengi wetu haswa wale tulioletewa hizi dini tuna ubaguzi wa kijinga kiasi hata hatuna akili, tena wakati mwingine unakuta hata Wapagani wanatuzidi upendoHao jamaa ndio wanaongoza kwa ustaarabu na tabia nzuri duniani.
Na hapo hawamjui Yesu wala Allah wa Mtume muhammad.
Ila kina sisi wakristo na waislamu ibada nyingii ila tabia mbovuu
Walikusanya taka kwenye ile mechi ya kwanza ya Qatar na Ecuador video ikasambaa,ila nafikiria wangekua waAfrica wameokota wangetrend hivi? Au wangeonekana ni kazi yao,,,,Just saying!
Aisee mpaka nimetamani hayo maisha wanayoishi ihamie huku kwetuJapan wako serious na maisha hilo tunalijua ni watu wa kazi wastaarabu sana
Kama huwa wanafanya hivyo mara nyingi na sisi hatujajifunza kutoka kwao, basi tuna matatizo sisiSio mara ya kwanza wanafanyaga ivyo ni kawaida kila kombe la dunia..Japan ndo inaongoza kwa watu wastaarabu hawapendi vurugu na wasafi sana yaani wanajiremba mpaka wanaume hao na Korea ni jadi zao...Nilishawahi sikia nchi izo unaweza kukosa kazi katika baadhi ya sehemu kama sio smart na una muonekano mbaya.
Hata wakifungwa, usafi wanafanya kama sehemu ya utamaduni wao wa maishaWangefungwa wangefanya huo usafi?
Hawa si ni wale wanao amka rasmi saa 11 alfajiri? 🤔Hii tabia ni ya kipekee kabisa, heshima ni kitu cha bure. Mpira ulivyoisha tu, wakakusanya taka zilizopo maeneo walipo wao, zote, na kuzitupa kwenye mifuko ya rambo na kutupa mahali pa taka na kuondoka.
Uhusiano wa Qatar na Japan kwa kitendo hiki aisee, itajenga urafiki mkubwa sana kidiplomasia.
Nimejifunza mengi sana kwa maisha ya Japan na nje ya Japan.
Wametuzidi mengi, hii tabia hujengwa kuanzia utotoni, kwenye familia, vitongoji hadi ngazi ya Taifawajapani kuanzia maisha, chakula, matibabu, elimu na n.k nikama mungu aliwapa kipawa