Masha Kiboko!

uwii! na ww tena? atakulipua vibao tena hadharani! kweli mapenzi upofu,pita kwanza kwa shigongo akupe hadithi zake!sijui kama alishamalizana na mamnge kimambi huyu!
hivi ameoa? namtafuta kweli aisee kama una contact zake unipe au kama yupo humu ani pm
 
bunge la wana sisi wanaweza kuwa wamenunuliwa CHAI na masha
kwa vigezo vya kulipuka mjengoni , wengi wao wananunulika kwa bahasha
ukiwa na bahasha dodoma kaambali na wabunge wa ccm wanaweza kukuzonga kama inzi
wakidhani kuna mgao
 
mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa
anakubalika sana kwa wabunge lakini hakubaliki kwa wananchi!!
 
It was so nice of him witnessing Wenje being kicked away out of the house,,,, what a wonderful moment!

Wewe ni mmoja wapo wa totoz alizokuwa anazinunulia makange na savana Rose Garden nini? Manake inaelekea umemmiss sana!!
 
Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa

weweee! embu rudi chooni umesahau kopo lako.
 
Huyu bwana si ndiye alingoa vitasa akabeba mapazia na vifaa kadhaa kutoka katika ofisi zake za zamani za wizara ya mambo ya ndani baada ya kubwagwa na mh. Wenje.Hayo aliyafanya baada ya kubaini kuwa uwaziri ameutema.. Walinzi mjengoni kaeni chonjo na wageni wa aina ya Masha uwezi kujua ataondoka na nini.

hapo upo anaweza akatoka hata na gari bwana mtu hatari sana huyu
 
it was so nice of him witnessing wenje being kicked away out of the house,,,, what a wonderful moment!

huwa analewa rose garden anaanza kuwatambia mabaa medi yeye ni tajiri mara awaonyeshe bastola....du kweli masha kiboko
 
Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa
wewe hujui huyo ni CCM mtandao --- CCJ kazi mnayo mwaka huu na Nape wenu mnamponza tu.
 
Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa

Kati ya topic za kusikitisha ni hii yako! Whats so special with that? Ameshangiliwa kama mgeni mashuhuri au kama Mbunge?

Unaposema Masha bado anakubalika, unamaanisha nini? Yaani kwa akili yako Wabunge ndiyo hucahgua Wabunge wa Majimbo? How ignorant you are! Mwambie 2015 Masha agombee Jimbo la Bunge kama litakuwa limeanzishwa!

Kwa akili ya kawaida wala hilo si suala la kutubandikia hapa, maana aliyembwaga Masha ni Mbunge wa Kambi ya Upinzani na waliomshangilia Bungeni si wapiga kura wake bali ni Wana CCM wenzake, hapo hakuna la ajabu. Ingawa ni kweli Masha anakubalika na Wabunge wa CCM na Wana CCM wenzake lakini si Wancnhi wa Nyamagana
 
Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa
<br />
<br />

Kulipuka huko umekutafsiri tofauti. Wabunge walikuwa wanashangilia kwa kuwa kwake nje ya system.
 
Mtoa mada hajafafanua ,masha anakubalika na nani ,wabunge ambao kazi yao kushangilia vitu vyote vya kipuuzi bungeni au wananchi ambao wamemtema kwa kukataa usharobaro wake?Awe specific kwani mjengoni wanashangiliwa hata wake na waume wa wabunge nao wanakubalika kivipi?
 
Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa

Kwa jinsi ulivyomtukuza, mie siwezi kumuita Mheshimiwa ana heshimika nini sasa? Kazi ni Nyodo nyingi tu
 
"LIPUALIPUA YA CCM NA MILIPUKO YA WABUNGE WAKE".
Kitabu bado nakiandika bado kitambo kidogo kitakuwa sokoni.
 
Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa

umetumwa kumsafisha Masha? Kama anakubalika kwanini alimwagwa? hamna kitu pale
 
umetumwa kumsafisha Masha? Kama anakubalika kwanini alimwagwa? hamna kitu pale
Unachekesha sana kaka,, ile ilikuwa what people call "ajali ya kisiasa". The guy will bounce back, make no mistakes on dat one!
 
Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa
siyo lazima kam huna cha kuandika ulazimishe kuandika, maana thread yenyewe haina mshiko wowote
 
Back
Top Bottom