Masha Kiboko!

Masha Kiboko!

Hivi cah ajabu ni nini?labda ukumbi ulilipuka kwa kumshangaa kuingia mjengoni baada ya kutolewa manake ni wachache wenye guts za kurudi wakati wakishapigwa bao!ukitaka kumjua huyu jamaa ingia YOUTUBE then search MASHA kuna clip alikua anajigamba baada ya kumtangaza Wenje kuwa sio raia!inachekesha sana!na inaonyesha wazi ni jinsi huyu bwana asivyopenda Demokrasia.
 
Ulipukaji wa kinafiki huo!!! Hapa Nyamagana wala hatuna hamu naye akafie hukohuko!
 
Huyo Masha mbono alishindwa kuwafanya Wananyamagana kulipuka na kumchagua yeye? Walimkataa kwa kuwa hafai kabisa kuwa Mbunge wao. Wabunge wa CCM siyo Wanayamagana!
 
Kulipuka kuna maana gani kwako,ana nyodo sana yule bwana mdogo wamlipukie wafanyaje nini nikimpango wao but Wenje ndio mwanaume wake,na kule kulipuka alikua anachekwa mtu mzima ila wewe ume quote watu vibaya,kua makini usikurupuke ww
 
Sometimes you don't need to integrate/differentiate in order to get the correct answer. Its simple, Masha's history makes me laugh when I see his video on youtube when was confidently declaring an elected MP before the election.
 
Huu ukumbi kwa kulipuka, we acha tu Chenge akikohoa ukumbi unalipukaLowassa akibweka ukumbi unalipukaKikwete akicheka ukumbi unalipukaPinda akilia ukumbi unalipukaSita akipiga chafya ukumbi unalipukaMwakyembe akiguna ukumbi unalipukaKomba akikoroma ukumbi unalipukaCCM ikichafua hewa ukumbi unalipukaUkumbi kulipuka ? Cha ajabu nini !
Umesahau...nanihii akijamba ukumbi unalipuka!
 
Sijui kwanini wabunge wa magamba hawakumchagua kuwawakilisha endapo anakubalika hivi, ila nyamagana wamemchoka
 
Salimia na thread za Masha sijui unatumwa ndugu. Kila siku Masha mwambie akuchumbie kabisa.
kumbe ndugu umeona enhee jamaa anamsafisha kiana jamaa mara RC DSM mara Anakubalika we acha..
 
Teh teh teh,ndugu kama hauna uzi wa kuandika bora ukae kimya.
 
Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa
Salimia siku zote lazima ujiulize makofi unayopigiwa na kushangiliwa, Je ni ya kushangiliwa kweli au ni ya kudhiakiwa na ya kinafiki?? Sababu as far as i know wabunge wengi wa CCM ni wanafiki.
 
Kwa wabunge wa Ccm kulipuka ni kawaida yao hata pale mjengoni ukipela paka ukimvisha yale manguo ya kijani alf ukasema huyu paka ni mwanachama we2 mpya lazima walipuke wabunge wa ccm ndo zao kulipuka lipuka hata vi2 vya kipumbavu,dat's Y sijashangaa kumshangilia masha
 
Huu ukumbi kwa kulipuka, we acha tu Chenge akikohoa ukumbi unalipukaLowassa akibweka ukumbi unalipukaKikwete akicheka ukumbi unalipukaPinda akilia ukumbi unalipukaSita akipiga chafya ukumbi unalipukaMwakyembe akiguna ukumbi unalipukaKomba akikoroma ukumbi unalipukaCCM ikichafua hewa ukumbi unalipukaUkumbi kulipuka ? Cha ajabu nini !
Umenikuna Mkuu! Senkyuu sana!
 
mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa

sijaelewa ni mh..kivipi??? Kuwa muadilifu na vyeo..
 
Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa

You are inlove with him, Funga ndoa
 
Huu ukumbi kwa kulipuka, we acha tu
Chenge akikohoa ukumbi unalipuka
Lowassa akibweka ukumbi unalipuka
Kikwete akicheka ukumbi unalipuka
Pinda akilia ukumbi unalipuka
Sita akipiga chafya ukumbi unalipuka
Mwakyembe akiguna ukumbi unalipuka
Komba akikoroma ukumbi unalipuka
CCM ikichafua hewa ukumbi unalipuka
Ukumbi kulipuka ? Cha ajabu nini !
Haa haaa haaaa uuuuuuuuuwiii mbavu zangu jamani!
 
Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa

Hahaa alkua kashawapa hela ili wampigie huyo
Sifa na siasa za kijinga zinawamaliza ccm!
 
Mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa
hivi ameoa? namtafuta kweli aisee kama una contact zake unipe au kama yupo humu ani pm
 
  • Thanks
Reactions: EMT
mh. Masha jana alikuwa mgeni mjengoni na mara baada ya kutambulishwa ukumbi mzima ulizizima kwa makofi na kushangilia kwa dakika zaidi ya 5. The guy bado anakubalika sana, mwenyewe nimekiri sasa

acha unge. Mse. Nge wako hapa. Anakubalika kwa lipi? Kwa kupigiwa makofi? Au kwa kuchakachua utaratibu wa vitambulisho vya taifa?
Ubunge aliukosa vipi kama anakubalika
?
 
Back
Top Bottom